Nimeiba chupi ya mke wangu

Nimeiba chupi ya mke wangu

tunaweza mlaumu bure kumbe kawehuka maana hali ya uchumi ni tete.
 
Huwa kanga na chupi unazifanyia nini Mkuu? Picchu huwa unanusa? Na ni picchu safi au chafu?

Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au chupi take.Naombeni ushauri manake imekua kesi
 
Kwi kwi kwi kwi hapo kwenye rangi 🙂🙂 yuko mwingine humu alianzisha uzi wa kuiba chupi za mkewe anaweka kwenye briefcase na kwenda nazo kazini. Kwenye foleni ananusa picchu za mkewe na kujisikia raha. Mkewe akaanza kulalama picchu zake zinaibiwa njemba kimyaaa! Baadaye akaanza kuiba picchu za house girl naye akaanza kulalama kupotea kwa picchu zake njemba ikajikausha. Picchu za mkewe kama nakumbuka vizuri alikuwa akiiba zilizo chafu.

Aisee..waume zetu mnatutia aibu. Kulikuwa hakuna haja ya kutueleza hiyo fantasy yako. By the way..ni chupi safi au chafu?
 
Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au chupi take.Naombeni ushauri manake imekua kesi
Sio yeye analaumu Mimi ndio nilishamwambia nisiskie unampa chochote huyo bwana wako uchwara.kuanzia kungegedana hadi sindano rungu.
Asikupe chochote kaliaga ushirikina wako tu
Wenzio tunakula kilaiiiiniiiii
Safari njema wala usirudi

Sent from Calculator Phone vesion007
 
Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au chupi take.Naombeni ushauri manake imekua kesi

Una akili za kitoto sana kijana/mtoto. Unaonyesha jinsi usivyo na heshima kwa mkeo. Ubarikiwe kuwa mwehu daima.
 
tapatalk_1502357860694.jpeg

Unaweza kuta hiyo nguo ya njano(aliyovaa kwa ndani) ni blauzi ya mke wake

Sent from my Compaq desktop-1997 Using Jamiiforums desktop app
 
Back
Top Bottom