Nimehonga 675,000 Tsh halafu nimeingizwa mjini

sasa wale mabikira 72 ninaosikia wapo itakuwaje sio uzinzi kweli

Ukiona hiyo ni ajabu ya peponi hii ya duniani iliyo kwenye Biblia vipi?

Bible 1 Kings 11-3

And he had seven hundred wives, princesses, and three hundred concubines: and his wives turned away his heart.

Hesabu niliyopata hapo ni 1,000, wake 700 na vimada 300.

Na hiyo ndio Biblia na hapo ni duniani.

Hapo sasa!
 
Mimi bana, nizoee kote, kwenye pesa give me a break. If una shida and unataka nikusaidie I may do that, kwa moyo mmoja. Ukishaingilia gia ya mkopo tu, signature zetu zitahusika kwenye some official document. Heri nipart ways with my money willingly kuliko kuwa forced to do that.
 
Baada ya kufikiria mara mbili tatu hiki kisa cha huyu mzushi, nimegunduwa huu ni uzushi tu, hakuna zaidi.

Nimefikia na kujikinaisha kuwa huu ni uzushi kwa kuwa kichwa cha habari kinasema "nimehonga" utumbo wa habari anasema "baby nipe six au saba then kesho nitakurudishia" au kwa lugha nyingine kakopwa. Halafu mtu anaehonga au kukopwa laki sita na mpaka vijishilingi vidogo (675,000) ni uzushi tu. Ukikopwa malaki, normally inakuwa ni round figure na ni very rare watu kukopesha malaki na vi elfu mpaka tano juu yake.

Nimestuka.
 
Ukiona hiyo ni ajabu ya peponi hii ya duniani liyi kwenye Biblia vipi?

Bible 1 Kings 11-3

And he had seven hundred wives, princesses, and three hundred concubines: and his wives turned away his heart.

Hesabu niliyopata hapo ni 1,000, wake 700 na vimada 300.

Na hiyo ndio Biblia na hapo ni duniani.

Hapo sasa!

Hiyo ni biblia kabla ya Yesu unaongele Mfalme Suleimani ambayo ni zama ambazo zinaitwa za giza kabla ya Yesu kuja lakni baada ya kuja hakuna mke zaidi ya mmoja na huruhusiwi kumpa taraka mke au mme mpaka awe katembea nje ya ndoa sio sababu za kwamba hajui kupika, ana kiburi, ana dharau, mshirikina, katukana wazazi sababu zinazoweza rekebishwa na mbinguni hakuna kuoa wala kuolewa wanaojiripua kuwahi mabikra 72 mbinguni very branwashed
 
kama ulichokiandika hakiendani na jina lako....Pole

Ila beby hawezi kupotea moja kwa moja atakutafuta tu,simu imezima umeme labda ulikatika
 
P inanunuliwa kwa shilingi hizo?mbona corner Bar cheap sana?
 
Baada ya kufikiria mara mbili tatu hiki kisa cha huyu mzushi, nimegunduwa huu ni uzushi tu, hakuna zaidi.

Nimefikia na kujikinaisha kuwa huu ni uzushi kwa kuwa kichwa cha habari kinasema "nimehonga" utumbo wa habari anasema "baby nipe six au saba then kesho nitakurudishia" au kwa lugha nyingine kakopwa. Halafu mtu anaehonga au kukopwa laki sita na mpaka vijishilingi vidogo (675,000) ni uzushi tu. Ukikopwa malaki, normally inakuwa ni round figure na ni very rare watu kukopesha malaki na vi elfu mpaka tano juu yake.

Nimestuka.[/QUOTE
wewe huna tofauti Na tomaso najua hapo ulipo kiroho kwatu ,:israel:Hawa ndiyo kiboko yenu
 
Baada ya kufikiria mara mbili tatu hiki kisa cha huyu mzushi, nimegunduwa huu ni uzushi tu, hakuna zaidi.

Nimefikia na kujikinaisha kuwa huu ni uzushi kwa kuwa kichwa cha habari kinasema "nimehonga" utumbo wa habari anasema "baby nipe six au saba then kesho nitakurudishia" au kwa lugha nyingine kakopwa. Halafu mtu anaehonga au kukopwa laki sita na mpaka vijishilingi vidogo (675,000) ni uzushi tu. Ukikopwa malaki, normally inakuwa ni round figure na ni very rare watu kukopesha malaki na vi elfu mpaka tano juu yake.

Nimestuka.
tomaso
 
Kiranga komo.

Qur'an 17:32. Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
Nukuu zingine zinautata sana! Sijajua waliotoa na mnaoziendeleza nukuu hizi mna maana gani! Manake tendo la kujamiiana ambalo limeharalishwa kwa wanandoa na kuwa uzinzi kwa wasiyo na ndoa ni lile lile! Kama tendo la kujamiiana ni lile lile iweje tendo hili likawa ni uchafu na njia mbaya?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom