Nimehonga 675,000 Tsh halafu nimeingizwa mjini

Nimehonga 675,000 Tsh halafu nimeingizwa mjini

Nukuu zingine zinautata sana! Sijajua waliotoa na mnaoziendeleza nukuu hizi mna maana gani! Manake tendo la kujamiiana ambalo limeharalishwa kwa wanandoa na kuwa uzinzi kwa wasiyo na ndoa ni lile lile! Kama tendo la kujamiiana ni lile lile iweje tendo hili likawa ni uchafu na njia mbaya?

Ndio nini hicho?

Isome mada na anavyodai yaliyomkuta mleta mada, utaelewa kwanini ni uchafu na njia mbaya. Kama huelewi, pole sana.
 
hahaha mlikutana jukwaju?
umpe pesa yote hyo, ingebid uchukue hadi barua ya serkal ya mtaa anaoish alaaa!
 
Inaonesha ndo pigo la kwanza halafu ukachapwa nyingi siku nyingine ubongo utafanya kaz vizur hapa bongo
 
Najuta kuiifahamu Dar, bora mafuriko yaendelee kuwasomba tu.

Baby nipe six au saba then kesho nitakurudishia. Haki ya Mungu sina hamu vinywaji na marafiki nimewanunulia P sikupata, asubuhi simu not reachable.

Dar haifai

ulitoa hicho kiasi ili kweli urudishiwe ? (kama ni hivyo aliyekopa hana busara na ni mwizi )

AU ulitoa ili upate penzi? Kama ndivyo basi hapo haujaibiwa kutoa pesa sio guarantee ya kulala na mtu
 
Kama ni halali yako utarejeshewa
Mkuu ni halali yangu ,nimemnasa mwizi Wangu maeneo ya survey leo mara akaanza kuniambia usiniguse nitakupigia Wimbo wa taifa sikuelewa maana yake ghafla akapiga yowe mwiziii ilikuwa hatari sana bodaboda nusura wanitoe roho ,nikajitetea ndiyo ikawa salama yangu ,nimekubali yaishe narudi Zangu mkoani Dar si saizi yangu
 
kudaadeki huyo ni noma
 
usirudi mkoani bila kupewa chako.........

mfanyie surveillance ujue mienendo yake, ukimpata kwenye week zone kwake halafu umtaitishe akupe chako au umpe kitu inauma............
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom