Nimegunduaaaa!!!

Nimegunduaaaa!!!

nilikumis sana msalimie dinazarde ukimuona

Dinazarde huwa namsalimia sana lakini cha ajabu huwa hajibugi PM za salamu nahisi huwa anadhani kila PM inakuwa na lengo lingine lisilofaa kumbe siyo we mwache tu ila kiukweli huyu dina au ngoja ninyamaze maana kashanipiga marufuku ku mention ID yake.
 
Last edited by a moderator:
Dinazarde huwa namsalimia sana lakini cha ajabu huwa hajibugi PM za salamu nahisi huwa anadhani kila PM inakuwa na lengo lingine lisilofaa kumbe siyo we mwache tu ila kiukweli huyu dina au ngoja ninyamaze maana kashanipiga marufuku ku mention ID yake.

hahahhaha waiteni wazee muyamalize
 
Last edited by a moderator:
hahahhaha waiteni wazee muyamalize

Nashangaa siku hizi kabadilika sana sijui kaniweka kwenye ignore list yake.Tatizo Hafahamu ya kwamba mimi nikiongea naye japo maneno mawili au matatu huwa najisikia furaha siku nzima kwa kuongea nae sasa hivi kaamua kuniadhibu namna hii na mi humu jamvini najisikia upweke sana kwa kukosa mtu wa kupiga naye stori aliyekuwa na UPOLE NA UPENDO MWINGI KAMA Dinazarde.Ndo maana siku hizi huwa sionekanagi humu huwa najishindia facebook.NAKUOMBA BASI UTUPATANISHE.
 
Last edited by a moderator:
Watu wanapiga story kwenye post yanh, yeuwii!
 
Ha ha ha uuuuwi
Mbona unadandia gar kwa mbele
Niliyemmuita kashakuja kimya kimya
Wewe nenda kwa Dina

Dina hana mpango na mimi na tumeshakuwa maadui na nimeshamweka kwenye ignore list nataka nije kwako naomba uniruhusu mkuu.
 
Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers
tupe sample ya research yako bwanaa mkunduzi maana hata fundi viatu ni mgunduzi
 
tupe sample ya research yako bwanaa mkunduzi maana hata fundi viatu ni mgunduzi

Sidhani kama kuna hata haja ya research kutambua alichoandika mtoa mada, tembelea threads tofauti utajionea mwenyewe.
 
Ukiona Uzi wako watu hawakoment jua hauna swaga

Jipange upya OK

Swaga ndio kitu gani mkuu?

Na je umewahi soma thread hata moja ya huyo SAYANSIKIMU ukalinganisha na zile za kwenu za MMU zenye hizo unazoita swaga?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom