RRONDO
Platinum Member
- Jan 3, 2010
- 60,422
- 139,283
Huyu SAYANSIKIMU ni nani? Hebu aje pm tubonge maana kama mtaalam hv!
wewe....!
Huyu SAYANSIKIMU ni nani? Hebu aje pm tubonge maana kama mtaalam hv!
Nimeingia humu kukusalimia kisha natoka.
Uhali gani kipenzi ini mkalia nyongo???
I miss uuuuuuuuuu.!
Hahahahhah kwa nini umesema hivyo.
nilikumis sana msalimie dinazarde ukimuona
Nimekumiss pia
Njoo pm nikuambie kitu
Dinazarde huwa namsalimia sana lakini cha ajabu huwa hajibugi PM za salamu nahisi huwa anadhani kila PM inakuwa na lengo lingine lisilofaa kumbe siyo we mwache tu ila kiukweli huyu dina au ngoja ninyamaze maana kashanipiga marufuku ku mention ID yake.
hahahhaha waiteni wazee muyamalize
HAYA ASANTE SANA KWA HUU UKARIBISHO nakuja haraka bila kuchelewa.
Kwani anasema uwongo huu ndo ukweli halisi.
Ha ha ha uuuuwi
Mbona unadandia gar kwa mbele
Niliyemmuita kashakuja kimya kimya
Wewe nenda kwa Dina
Nimekumiss pia
Njoo pm nikuambie kitu
Dina hana mpango na mimi na tumeshakuwa maadui na nimeshamweka kwenye ignore list nataka nije kwako naomba uniruhusu mkuu.
tupe sample ya research yako bwanaa mkunduzi maana hata fundi viatu ni mgunduziAisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers
kuwa mwanamke na wewe basi tukimbilie post zako.
tupe sample ya research yako bwanaa mkunduzi maana hata fundi viatu ni mgunduzi
Ukiona Uzi wako watu hawakoment jua hauna swaga
Jipange upya OK