Nimegunduaaaa!!!

Nimegunduaaaa!!!

SMIGO

Senior Member
Joined
May 13, 2014
Posts
148
Reaction score
19
Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers
 
Last edited by a moderator:

dah, kumbeee!
 
Last edited by a moderator:
unaweka misired ming haina kichwa wala miguu unadhani tuko kwajili ya kucheza hapa????@???
 
kama umeandika utumbo unategemea nini
 
Ulichoandika ni kweli mleta mada, ingawa sijui utafiti wako umeufanya vipi.

Watu wanaponda sababu umewagusa, ila ukweli ndo huo.
 
HATA CJIBU LOLOTE, MAANA IMEWAGUSA HAO WANAUME, MNATAKA KUNIJUA? HAMTANIFAHAMU, ENDELEENI KUREPLY UTUMBO TU MAANA NIMETOBOA UKWELI, Huyo aliyecema wanaume wanaandika utumbo, hao wanawake wanaandika vzr, na NITAGUNDUA TENA! Bahat humu hakuna kujuana jinsia, dini wala Umri na hata Sura!
 
Nashindwa kuelewa!!!!!!!!!!!!!

Sasa hii mada imeanzishwa na Mwanaume (Bila Shaka, kama nimekosea samahani)

Je, na sisi wanaume tusichangie hii mada!!!!!!!!!!!

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Kuna vijana hawatambui maudhui ya mitandao ya kijamii. Kashika smartphone, hana cha kufanya zaidi ya kuandika utumbo...aibu;!!;!!!
 
Back
Top Bottom