Nimegunduaaaa!!!

Nimegunduaaaa!!!

kama umeandika utumbo unategemea nini

Sio kweli,post nyingi za wanawake huwa hazina kichwa h,miguu wala kifua ila koments na reply za kutosha. Kwa hiyo unachokisema sio kweli.
 
nimegunduaaaaaaa kabinti speshooooooooooooooooooooo
 
Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers

tumia ID ya kike na wewe uanzishe thread
 
kuna vjana hawa hapa wameonesha uelewa wao ktk post hii, wanitumie namba zao PM niwaongezee credit
.
.
.
.
DEMBA
Dreadnought
kaka km
fanyeni fasta.
 
Last edited by a moderator:
HAHHAHHAH HAHHAH hata mimi nilikuwa na mpango wa kulisema ili swala kama afadhali ulivyo amua kulisema maana hakika INABOA SANA UNAANZISHA UZI WA MAANA HALAFU UNakosa wachangiaji na unanyimwa like.Ndio maana siku hizi zianzishi uzi humu niko zangu facebook humu huwa napitapita tu.
 
Ukiona Uzi wako watu hawakoment jua hauna swaga

Jipange upya OK
 
Huyu SAYANSIKIMU ni nani? Hebu aje pm tubonge maana kama mtaalam hv!
 
Last edited by a moderator:
Ukiona Uzi wako watu hawakoment jua hauna swaga

Jipange upya OK

UWONGO HUO watu maarufu humu jamvini hata kama wakianzisha mada za kijinga na ku comment ujinga wanapewa ma like mengi na ma reputation point mengi lakini wale wanao sema mambo ya maana unashangaa uzi wao hauchangiwi ndio MAANA SIKU HIZI KUMEZUKA WIMBI KUBWA LA WATU WANAO ANZISHA MADA ZA KIJINGA SANA ILI KUCHEZEA AKILI ZA WATU HUMU na kuvuta wachangiaji NA unashangaa comment za kijinga zinapewa like.Hebu ngoja nirudi facebook naona mmesha anza kuniuzi humu.
 
Aisee! nimegundua sasa, kumbe post za wanawake humu ndani ndizo zinapata coment na reply nyingi aisee nimefanya uchunguzi kumbe midume ya humu hukimbilia post za wanawake zaid, alafu ukiangalia tofauti za reply kwenye post za wanawake na wanaume huwezi amini aiseeeeeeeee!!!! by Mgunduzi no @3 from Jamii Forum group of Researchers

kuwa mwanamke na wewe basi tukimbilie post zako.
 
Back
Top Bottom