Nimegundua wasomi wengi ni wazembe

Nimegundua wasomi wengi ni wazembe

Ngoja niwatete hapa kidogo. Uzuri wa kazi hata kama unapata mshahara mdogo ni kwamba inakupatia experience. Manaake kila ukiomba kazi unaulizwa uzoefu. Pili ukiwa na kazi ndo unapata kazi nzuri zaidi kulingana utendaji kazi wako. Hauwezi ukatolewa kwenye shamba la viazi moja kwa moja mpaka afisa .
 
Unatupiga majungu au... niangalie kwanza wewe
 
Ni kweli wasomi ni wavivu san mfno wakati tupo chuo kikuu prof kabudi alikuwa mvivu sana kufnya kaz hata kufua nguo
 
Ni kweli japo sio wote, isipokuwa wengi wao ni wazembe na hawana uzalendo na nchi yao, wanatanguliza maslahi binfsi. Pia
 
Ukweli ni wazembe, tatizo walio wengi wanajiona kuwa wamesoma, wanadharau wengine pia hawana uzalendo na nchi yao na wanajinufaisha wao na matumbo yao,japo sio wote.
 
Back
Top Bottom