Wanawake kuanzia miaka ya 18 - 26 huwa wanadhani mke wa Obama alijua Obama atakua rais ndo akamkubali.
Kaka umenena ukweli mtupu, kwani unaweza kumkaribisha your friend unamwelezea huyu ni mke wangu nampenda sana, kumbe wao wawili wanakuchora kwani huyo mkeo alishatanua miguu akampa jamaa papuchi yake tena sio mara moja, ameigaragaza hata hataki kuiona tena, yaani in short ameikinai
Hizi ndo fikira finyu za wanaume wetu wa bongo, true love is beyond that, you love the person with all the flaws. Muhimu awe ameachana na machafu ya nyuma. Watu wanaoa changudoa na wakawa na maisha yenye furaha....kuliko waliooa mabikira au wale wasafi
Dunia ni gwaride, aliyekuwa mchafu anaweza akawa msafi kesho and vice versa. Kwahiyo hebu jiokoeni na hizi fikra zisizoleta maendeleo
cc[MENTION]elungata[/MENTION]
Labda nikuulize swali moja simple, wewe utakubali wewe uolewe na mwanaume aliyekuwa anageuza na wanaume wengine? Coz according to ur explanation we have to forget the past kwani yaliyopita sio ndwele tugange yajayo! Ukinipa jibu kwamba utamsamehe na kuolewa nae basi nami nitaondoa mawazo yangu, PLZ ANSWEAR ME
Hizi ndo fikira finyu za wanaume wetu wa bongo, true love is beyond that, you love the person with all the flaws. Muhimu awe ameachana na machafu ya nyuma. Watu wanaoa changudoa na wakawa na maisha yenye furaha....kuliko waliooa mabikira au wale wasafi
Dunia ni gwaride, aliyekuwa mchafu anaweza akawa msafi kesho and vice versa. Kwahiyo hebu jiokoeni na hizi fikra zisizoleta maendeleo
ccelungata
bora usioe. mm sitaoa and i'll only have single-dad family. nachukizwa na kufanywa chanzo cha mapato, sipendi kulea financially mwanamke ambae muda wowote anakukataa ukimess maisha. ntakula starehe zote peke yangu na watoto wangu na housegilr anayewalea..i'll never touch her kwasababu at every moment, i'll have short relationships (hit and run). swala la kununua papuchi moja na kuiweka ndani (kuoa) mwisho wa siku ntaichoka na kuwa mtu wa michepuko...bora nisioe na michepuko iitwe girlfriends.
Ndoa inazima mwamko wa mapenzi, nimekuja kugundua kuwa raha kubwa ya uhusiano kwa mwanaume ni kuwa na active sexual feelings...lkn ikifikia stage ukimwona mkeo hata hujiskii kugegeda...tafua jibu. ninahitimisha kwa kusema kuwa; mapenzi ni sawa na chakula, huwezi kula wali kila siku. idea ya kuoa na kuwa na familia inahimiziwa ili dunia ilendelee kuzunguka, lkn sio lazima niwe mmoja wao (watakao ijaza dunia - kwa kuoa, kuzaa na kumentain familia). ile shauku ya kukuzwa na wazazi waliooana na kuona kila kukicha watu wanaona ndio ilinisukuma kuoa (bila kusahau penzi zito la niliyemuoa)..nimehitimisha kwa kuona kuwa "all is corrupt", ndoa ni advantage kwa mwnamke tu (for security purpose of course, mainly financially), if i can live happily without it...LET IT BE,
Jichunguze unakasoro kubwq sana kama hayo ndio mawazo yako.Nimegundua wanaume niwachache sana ila kuna wavulana wengi.Mwanaume ni yule anayeweza kupambana na hali zote za maisha na sio kuanza kuanalyse risk kabla kama vile anaanzisha biashara ya samaki.Kuoa na kuolewa na kumanage changamoto ndio kusudi la Mungu la maisha ya mwanadamu na ndio maana aliumba watu wawili wenye jinsia tofauti waishi pamoja na sio vinginevyo.Jitafakari na mwishoni utaacha laana tu duniani kwani manunguniko ya hao wamama yatakumaliza
Utoto nao kazi, ujana maji ya moto, peleleza umri wa Samia Sululu na lile jicho kama kala kungu ukisema wanawake wanaexpire date wenzako tunakushangaa, by the way kwa sasa namlia misele Sophia Simba ananikuna kwelikweli, unaujuwa umri wake?
Tafuta wanaume uliosoma nao tangu shule ya msingi kama wengine hawafanani na Babu yako, usichanganye economy harassment na life style.