Nimegundua wanawake huwa wana expire date

Nimegundua wanawake huwa wana expire date

Mmmmmmmmmh! Labda huko kwenu but kwangu never ever it cant happen and will never happen
 
bro pia ujue kuwa msichana wa miaka 22 hawezi kuwa na mwonekano sawa na mwanamke mwenye miaka 35
 
mpenzi wako mpya ni wa mwenzio wa zamani acha fikra za kizamani wewe. watu wanaoa ma ex wa kaka zao ije kuwa wa rafiki??????

Mmmmmmmmmmh! Labda huko kwenu but kwangu it cant happen and will never happen! Au wewe ndo ulikuwa x wa kaka mtu nini!!!!! Coz hii ni mpya sana kwangu
 
Mleta mada: Jambo la kwanza ni KUPIMA, ktk essay yako sioni kama limo akilini mwako. Sijui, labda Mola ndio mpangaji wa yote.
 
Lakini kiukweli Ninasita sana kujihusisha na huyu binti kimapenzi kwa sababu ya maswali yafuatayo

(1) amepita sehemu ngapi, na amehangaika kiasi gani na wanaume hadi kufika hapa?

(2) kwa nini msichana mzuri kiasi kile ameshindwa kuolewa kwa miaka yote hiyo? Watu hawamuoni? Wasichana karibuni wote Mtaani pale nasikia waliolewa tena wengine wabaya Wa sura, yy ilikuaje? Yupo kwenye mid 30s tupo kwenye rika moja mm namzidi kidogo nipo kwenye late 30s

(3)pale Mtaani kuna wengine pia walikua wanamfuatilia enzi hizo je hakuna aliempata?

(4) je sio kwamba ugumu Wa maisha na matatizo yaliyompata ndio yamemleta kwangu na sio Upendo?

(5)je hakuna jambo kubwa lililojificha nyuma ya pazia nisilolijua? Maana sina Wa kumuuliza historia ya huyu Dada baada ya mm kuondoka Mtaani, na wengi waliondoka pale kwenda kutafuta life kwingine

Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujibu haya maswali?

ningeweza kukusaidia ila msimamo wako haujauweka wazi
 
aaahh uyo ashapoteza net nahisi binti ndo mzembe tu apo
 
labda umri ulionao bado ni mdogo haujakuruhusu kuyaona na kuyasikia hayo ila yapo sana tu endelea utakutana nayo
 
Hapo Lyida hana kosa lolote,

Tayari alikuwa ana mtu wake that time,

Pia wasichana wanapo kuwa mature age wana majibu ya hovyo hovyo sana

Ila Lidya bado ajapoteza

Alikuwa kwenye mawindo

Sasa kafanikiwa kumpata amuwindae

Hapo hata kwa sangoma utapelekwa

Kaka unipm nije kula harusi yako
 
Maamuzi yako sasa hapa ndio ya mwisho maana ushashauriwa vya kutosha na wewe umeshatathmin kwa sana...
 
Hapo sasa, kama Mzee Mwanakijiji kahamasisha watu wafunge na kuomba kwa siku 40 kule Facebook ili ccm iondolewe madarakani hatimaye Mungu kajibu maombi kaletwa Lowasa, Mwanakijiji hataki anataka kumpangia Mungu Rais awe nani.
Duuh hili neno mkuu, kwa mtaji huu maombi ya watu wengi huwa yana matarajio flani
 
Shame on you.... sasa wewe Elimu hiyo yote imekusaidia nini kama kajambo kadogo kama hako huwezi kukatatua mpaka uje JF...?? Jibu zuri litatoka kwa mama yako..... kama unataka muoa Mpeleke kwenu akakae na mama yako mzazi mwaka mmoja alafu mama yako ndie atakae kupa jibu sahihi kwamba anafaa au hafai... Over.
 
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake
Wakati huo mm nilikua form four yeye form three, vijana wengi sana walijitosa kumtongoza, mm nilikua mmoja wao

Nilikua nampenda sana yule binti, nikamwandikia barua ya mapenzi, siku kadhaa mbele akanijibu kuwa hanitaki kupitia barua pia, maana wakati huo nadhan mtindo Wa kuandika barua za mapenzi ndio ulikua unaelekea ukingoni, nakumbuka kwenye 97+ ndio simu zilianza kuja ingawa waliomudu walikua wachache sana

Nikaona niongee nae uso kwa uso isije ikawa barua yangu ilichakachuliwa na dalali niliemtuma , bado alinijibu Maneno yafuatayo. Kwamba "" nakuchukia, sikupendi, kwanza wewe sio handsome kama flan na flani, hatuendani, hivyo usinifuate fuate, zaidi ya yote kwenu kumechoka, utanipa nini? nikamwelea nikafuta mawazo hayo nika concentrate na masomo yangu

Nikamaliza forum 4 then 6 then nikachaguliwa UDSM, nikafanya computer science and mathematics, then nikapata wafadhili nikapata scholarship nikaenda kufanya masters ya IT university of the Western cape SA
Nikarudi hapa nikakuta ndio mabenki mengi yanaanza mfumo Wa kufanya transactions live online, ndipo watu wengi Wa IT tulipoanza kugombaniwa na mabenki hayo mwanzoni mwa 2000 -2005
Mungu si athumani nikaingia mkataba mnono na benki moja ya makabwela iliyokua imenunua system ya EQUINOX
Ama kweli elimu haitupi mtu

Baade nikaamia benki nyingine ya kigeni ambayo nipo hadi sasa, namshukuru mungu, nimewajengea wazazi nyumba, mm zangu mbili, nimewekeza miradi kadhaa, nimewainua wadogo zangu na kadhalika

Kumbe wanawake huwa wana expire

Kama miezi mitatu iliyopita nikiwa ofisini kwangu, nilipigiwa simu na reception kuwa kuna mgeni wangu anaitwa Lydia tumruhusu aje? Nikajibu ndio, hata hivyo nilijibu ndio bila kujua ni Lydia yupi huyo kaja kunitafuta kazini?

Alipoingia nilishtuka kumuona ni Lydia Wa Mtaani kwetu miaka hiyo,ni yule binti alienikataa kwa mbwembwe, hatukuwahi kuonana tena baada ya mm kumaliza form four na kuondoka mkoani kwa safari ndefu ya shule iliyonifikisha hapa
Nilisonenaka mno moyoni, Lydia amechoka, amedhoofika, nywele zilizokosa matunzo, ingawa uzuri usoni upo lakini amekonda, alionekana wazi maisha yamemtandika vilivyo
Akanieleza alikutana na mama yangu mkoani siku za karibuni ndipo mama akamuelekeza ninapopatikana, binti akadai amenitafuta muda mrefu bila mafanikio hadi alipokutana na mama yangu, maana wazazi walishahama Mtaani long time

Jioni yake tulikaa sehemu tukaongea mengi, nikampeleka changanyikeni anakofikiaga kila akija dar, kumbe Ali fail form 4 na 1999 alifiwa na mama, 2003 Mzee akafariki

Tangu tumekutana July alipokuja ofisini nimekua nikimsaidia mambo mbali mbali, in short anaishi hapa kwa hisani yangu, kwa sasa amenona, uzuri wote umerudi, nyonyo zimesimama kama bolibo, nimekua nikimhudumia kama Rafiki Wa kawaida kumsaidia, hali ilikua mbaya sana

Mm sijamgusia neno lolote kuhusu mapenzi, lakini kwa dalili zote ni wazi anataka tuwe pamoja, kwanza alianza kuniomba msamaha kwa Maneno aliyoniambia huko nyuma, kwamba alikua bado mtoto asieweza kufikiri sasa sasa, hakujua anahitaji nini wakati huo, kwamba hayakutoka moyoni mwake, nikamwambia yalishaisha hayo siku nyingi, tukaishia hapo, hatujawahi kuongea way forward, ingawa anafika kwangu Mara nyingi anapika na kufanya usafi kama washikaji tu, maana kuna ndugu wengine naishi nao hapo, mm bahati mbaya kwa upande wangu, mapenzi kwa miaka mingi hayaniendei vizuri, eneo hilo Nina sifuri, sijakua na stable relationship, hata mwaka huwa simalizi na msichana tunashindwana, hata nilie nae sasa hivi ni kama hakuna mwelekeo, Nina watoto wawili Wa wanawake tofauti

Hata hivyo kwa hali ya huyu Dada nimejiuliza ujanja Wa wanawake uko wapi? Jinsi alivyotusumbua Mtaani you can never believe, now she is on her knees, kumbe wanawake wana expire date ikipita Basi inakua dhahama

Sasa Rafiki yangu mmoja ananishauri mchukue huyu mtoto uishi nae, mtoto mzuri kiasi hiki bado unajiuliza uliza? Anasema

Lakini kiukweli Ninasita sana kujihusisha na huyu binti kimapenzi kwa sababu ya maswali yafuatayo

(1) amepita sehemu ngapi, na amehangaika kiasi gani na wanaume hadi kufika hapa?

(2) kwa nini msichana mzuri kiasi kile ameshindwa kuolewa kwa miaka yote hiyo? Watu hawamuoni? Wasichana karibuni wote Mtaani pale nasikia waliolewa tena wengine wabaya Wa sura, yy ilikuaje? Yupo kwenye mid 30s tupo kwenye rika moja mm namzidi kidogo nipo kwenye late 30s

(3)pale Mtaani kuna wengine pia walikua wanamfuatilia enzi hizo je hakuna aliempata?

(4) je sio kwamba ugumu Wa maisha na matatizo yaliyompata ndio yamemleta kwangu na sio Upendo?

(5)je hakuna jambo kubwa lililojificha nyuma ya pazia nisilolijua? Maana sina Wa kumuuliza historia ya huyu Dada baada ya mm kuondoka Mtaani, na wengi waliondoka pale kwenda kutafuta life kwingine

Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujibu haya maswali?

Nb, sehemu niliyoeleza mafanikio ya kielimu na kikazi ni kutaka kukupa picha ya wakati huo nakataliwa na sasa nimefanikiwa, naomba isieleweke vinginevyo

shule ulizoxoma hujataj bt chuo udsm,SA umetaja
vip hzo shule hazin majina?
 
Talk about inflated ego..........mtu wa late thirties,with two kids from different women and still you imagine yourself to be
"God gift's to women" smh.
Mkuu, we mchukue tu na uache kujivunga , maana it clear bado unamzimkia. Otherwise who holds grudges this long for this long for someone they dont care for , kuhusu mambo yaliyo tokea utotoni? Hebu jiulize, why years and years later bado unaona wivu about about who she has and/or might have been with. Ilhali you, too are used goods.

Hahah ouch...!!!two used goods indeed
 
bora usioe. mm sitaoa and i'll only have single-dad family. nachukizwa na kufanywa chanzo cha mapato, sipendi kulea financially mwanamke ambae muda wowote anakukataa ukimess maisha. ntakula starehe zote peke yangu na watoto wangu na housegilr anayewalea..i'll never touch her kwasababu at every moment, i'll have short relationships (hit and run). swala la kununua papuchi moja na kuiweka ndani (kuoa) mwisho wa siku ntaichoka na kuwa mtu wa michepuko...bora nisioe na michepuko iitwe girlfriends.

Ndoa inazima mwamko wa mapenzi, nimekuja kugundua kuwa raha kubwa ya uhusiano kwa mwanaume ni kuwa na active sexual feelings...lkn ikifikia stage ukimwona mkeo hata hujiskii kugegeda...tafua jibu. ninahitimisha kwa kusema kuwa; mapenzi ni sawa na chakula, huwezi kula wali kila siku. idea ya kuoa na kuwa na familia inahimiziwa ili dunia ilendelee kuzunguka, lkn sio lazima niwe mmoja wao (watakao ijaza dunia - kwa kuoa, kuzaa na kumentain familia). ile shauku ya kukuzwa na wazazi waliooana na kuona kila kukicha watu wanaona ndio ilinisukuma kuoa (bila kusahau penzi zito la niliyemuoa)..nimehitimisha kwa kuona kuwa "all is corrupt", ndoa ni advantage kwa mwnamke tu (for security purpose of course, mainly financially), if i can live happily without it...LET IT BE,

Huyu nae😕😕😕 toa ushauri sio kuleta stress zako kwa post ya wengine
 
Mkuu inaoneka umetendwa. Pole, wanawake wa mujini wamefanya mapenzi biashara.

Nakuombea Mungu akupe mke sio mwanamke.
 
Utoto nao kazi, ujana maji ya moto, peleleza umri wa Samia Sululu na lile jicho kama kala kungu ukisema wanawake wanaexpire date wenzako tunakushangaa, by the way kwa sasa namlia misele Sophia Simba ananikuna kwelikweli, unaujuwa umri wake?

Tafuta wanaume uliosoma nao tangu shule ya msingi kama wengine hawafanani na Babu yako, usichanganye economy harassment na life style.

Hahahaa Matola katika ubora wake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom