Nimegundua wanawake huwa wana expire date

Unajiuliza na kushangaa kwanini mpaka leo hajaolewa pamoja na uzuri wote aliokuwa nao, kama ni ajabu basi hata wewe unastaajabisha manake mbona hata wewe mpaka leo hujaoa pamoja na mafanikio yote uliyonayo? Na swala la kusema eti kapitiwa na wangapi, kwani wewe umepitia wangap? Anza kutoa kwanza boriti lako ndo utoe la mwenzio
Haya ndio maneno ya busara:A S 41:..Wote pamoja wako kundi moja
 
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake
Wakati huo mm nilikua form four yeye form three, vijana wengi sana walijitosa kumtongoza, mm nilikua mmoja wao

Nilikua nampenda sana yule binti, nikamwandikia barua ya mapenzi, siku kadhaa mbele akanijibu kuwa hanitaki kupitia barua pia, maana wakati huo nadhan mtindo Wa kuandika barua za mapenzi ndio ulikua unaelekea ukingoni, nakumbuka kwenye 97+ ndio simu zilianza kuja ingawa waliomudu walikua wachache sana

Nikaona niongee nae uso kwa uso isije ikawa barua yangu ilichakachuliwa na dalali niliemtuma , bado alinijibu Maneno yafuatayo. Kwamba "" nakuchukia, sikupendi, kwanza wewe sio handsome kama flan na flani, hatuendani, hivyo usinifuate fuate, zaidi ya yote kwenu kumechoka, utanipa nini? nikamwelea nikafuta mawazo hayo nika concentrate na masomo yangu

Nikamaliza forum 4 then 6 then nikachaguliwa UDSM, nikafanya computer science and mathematics, then nikapata wafadhili nikapata scholarship nikaenda kufanya masters ya IT university of the Western cape SA
Nikarudi hapa nikakuta ndio mabenki mengi yanaanza mfumo Wa kufanya transactions live online, ndipo watu wengi Wa IT tulipoanza kugombaniwa na mabenki hayo mwanzoni mwa 2000 -2005
Mungu si athumani nikaingia mkataba mnono na benki moja ya makabwela iliyokua imenunua system ya EQUINOX
Ama kweli elimu haitupi mtu

Baade nikaamia benki nyingine ya kigeni ambayo nipo hadi sasa, namshukuru mungu, nimewajengea wazazi nyumba, mm zangu mbili, nimewekeza miradi kadhaa, nimewainua wadogo zangu na kadhalika

Kumbe wanawake huwa wana expire

Kama miezi mitatu iliyopita nikiwa ofisini kwangu, nilipigiwa simu na reception kuwa kuna mgeni wangu anaitwa Lydia tumruhusu aje? Nikajibu ndio, hata hivyo nilijibu ndio bila kujua ni Lydia yupi huyo kaja kunitafuta kazini?

Alipoingia nilishtuka kumuona ni Lydia Wa Mtaani kwetu miaka hiyo,ni yule binti alienikataa kwa mbwembwe, hatukuwahi kuonana tena baada ya mm kumaliza form four na kuondoka mkoani kwa safari ndefu ya shule iliyonifikisha hapa
Nilisonenaka mno moyoni, Lydia amechoka, amedhoofika, nywele zilizokosa matunzo, ingawa uzuri usoni upo lakini amekonda, alionekana wazi maisha yamemtandika vilivyo
Akanieleza alikutana na mama yangu mkoani siku za karibuni ndipo mama akamuelekeza ninapopatikana, binti akadai amenitafuta muda mrefu bila mafanikio hadi alipokutana na mama yangu, maana wazazi walishahama Mtaani long time

Jioni yake tulikaa sehemu tukaongea mengi, nikampeleka changanyikeni anakofikiaga kila akija dar, kumbe Ali fail form 4 na 1999 alifiwa na mama, 2003 Mzee akafariki

Tangu tumekutana July alipokuja ofisini nimekua nikimsaidia mambo mbali mbali, in short anaishi hapa kwa hisani yangu, kwa sasa amenona, uzuri wote umerudi, nyonyo zimesimama kama bolibo, nimekua nikimhudumia kama Rafiki Wa kawaida kumsaidia, hali ilikua mbaya sana

Mm sijamgusia neno lolote kuhusu mapenzi, lakini kwa dalili zote ni wazi anataka tuwe pamoja, kwanza alianza kuniomba msamaha kwa Maneno aliyoniambia huko nyuma, kwamba alikua bado mtoto asieweza kufikiri sasa sasa, hakujua anahitaji nini wakati huo, kwamba hayakutoka moyoni mwake, nikamwambia yalishaisha hayo siku nyingi, tukaishia hapo, hatujawahi kuongea way forward, ingawa anafika kwangu Mara nyingi anapika na kufanya usafi kama washikaji tu, maana kuna ndugu wengine naishi nao hapo, mm bahati mbaya kwa upande wangu, mapenzi kwa miaka mingi hayaniendei vizuri, eneo hilo Nina sifuri, sijakua na stable relationship, hata mwaka huwa simalizi na msichana tunashindwana, hata nilie nae sasa hivi ni kama hakuna mwelekeo, Nina watoto wawili Wa wanawake tofauti

Hata hivyo kwa hali ya huyu Dada nimejiuliza ujanja Wa wanawake uko wapi? Jinsi alivyotusumbua Mtaani you can never believe, now she is on her knees, kumbe wanawake wana expire date ikipita Basi inakua dhahama

Sasa Rafiki yangu mmoja ananishauri mchukue huyu mtoto uishi nae, mtoto mzuri kiasi hiki bado unajiuliza uliza? Anasema

Lakini kiukweli Ninasita sana kujihusisha na huyu binti kimapenzi kwa sababu ya maswali yafuatayo

(1) amepita sehemu ngapi, na amehangaika kiasi gani na wanaume hadi kufika hapa?

(2) kwa nini msichana mzuri kiasi kile ameshindwa kuolewa kwa miaka yote hiyo? Watu hawamuoni? Wasichana karibuni wote Mtaani pale nasikia waliolewa tena wengine wabaya Wa sura, yy ilikuaje? Yupo kwenye mid 30s tupo kwenye rika moja mm namzidi kidogo nipo kwenye late 30s

(3)pale Mtaani kuna wengine pia walikua wanamfuatilia enzi hizo je hakuna aliempata?

(4) je sio kwamba ugumu Wa maisha na matatizo yaliyompata ndio yamemleta kwangu na sio Upendo?

(5)je hakuna jambo kubwa lililojificha nyuma ya pazia nisilolijua? Maana sina Wa kumuuliza historia ya huyu Dada baada ya mm kuondoka Mtaani, na wengi waliondoka pale kwenda kutafuta life kwingine

Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujibu haya maswali?

Nb, sehemu niliyoeleza mafanikio ya kielimu na kikazi ni kutaka kukupa picha ya wakati huo nakataliwa na sasa nimefanikiwa, naomba isieleweke vinginevyo
Huyo msichana sijui mmama au mdada..any way..Hapo alipo hakosi mtoto hakosi mwanaume ambae alikuwa anajiegemeza kipindi chote hicho..na mambo ya kumjudge muachie mungu..mchunguze kwa makini sana acha wenge..utajutia
 
Utoto nao kazi, ujana maji ya moto, peleleza umri wa Samia Sululu na lile jicho kama kala kungu ukisema wanawake wanaexpire date wenzako tunakushangaa, by the way kwa sasa namlia misele Sophia Simba ananikuna kwelikweli, unaujuwa umri wake?

Tafuta wanaume uliosoma nao tangu shule ya msingi kama wengine hawafanani na Babu yako, usichanganye economy harassment na life style.

Mie napita tu
 
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake
Wakati huo mm nilikua form four yeye form three, vijana wengi sana walijitosa kumtongoza, mm nilikua mmoja wao

Nilikua nampenda sana yule binti, nikamwandikia barua ya mapenzi, siku kadhaa mbele akanijibu kuwa hanitaki kupitia barua pia, maana wakati huo nadhan mtindo Wa kuandika barua za mapenzi ndio ulikua unaelekea ukingoni, nakumbuka kwenye 97+ ndio simu zilianza kuja ingawa waliomudu walikua wachache sana

Nikaona niongee nae uso kwa uso isije ikawa barua yangu ilichakachuliwa na dalali niliemtuma , bado alinijibu Maneno yafuatayo. Kwamba "" nakuchukia, sikupendi, kwanza wewe sio handsome kama flan na flani, hatuendani, hivyo usinifuate fuate, zaidi ya yote kwenu kumechoka, utanipa nini? nikamwelea nikafuta mawazo hayo nika concentrate na masomo yangu

Nikamaliza forum 4 then 6 then nikachaguliwa UDSM, nikafanya computer science and mathematics, then nikapata wafadhili nikapata scholarship nikaenda kufanya masters ya IT university of the Western cape SA
Nikarudi hapa nikakuta ndio mabenki mengi yanaanza mfumo Wa kufanya transactions live online, ndipo watu wengi Wa IT tulipoanza kugombaniwa na mabenki hayo mwanzoni mwa 2000 -2005
Mungu si athumani nikaingia mkataba mnono na benki moja ya makabwela iliyokua imenunua system ya EQUINOX
Ama kweli elimu haitupi mtu

Baade nikaamia benki nyingine ya kigeni ambayo nipo hadi sasa, namshukuru mungu, nimewajengea wazazi nyumba, mm zangu mbili, nimewekeza miradi kadhaa, nimewainua wadogo zangu na kadhalika

Kumbe wanawake huwa wana expire

Kama miezi mitatu iliyopita nikiwa ofisini kwangu, nilipigiwa simu na reception kuwa kuna mgeni wangu anaitwa Lydia tumruhusu aje? Nikajibu ndio, hata hivyo nilijibu ndio bila kujua ni Lydia yupi huyo kaja kunitafuta kazini?

Alipoingia nilishtuka kumuona ni Lydia Wa Mtaani kwetu miaka hiyo,ni yule binti alienikataa kwa mbwembwe, hatukuwahi kuonana tena baada ya mm kumaliza form four na kuondoka mkoani kwa safari ndefu ya shule iliyonifikisha hapa
Nilisonenaka mno moyoni, Lydia amechoka, amedhoofika, nywele zilizokosa matunzo, ingawa uzuri usoni upo lakini amekonda, alionekana wazi maisha yamemtandika vilivyo
Akanieleza alikutana na mama yangu mkoani siku za karibuni ndipo mama akamuelekeza ninapopatikana, binti akadai amenitafuta muda mrefu bila mafanikio hadi alipokutana na mama yangu, maana wazazi walishahama Mtaani long time

Jioni yake tulikaa sehemu tukaongea mengi, nikampeleka changanyikeni anakofikiaga kila akija dar, kumbe Ali fail form 4 na 1999 alifiwa na mama, 2003 Mzee akafariki

Tangu tumekutana July alipokuja ofisini nimekua nikimsaidia mambo mbali mbali, in short anaishi hapa kwa hisani yangu, kwa sasa amenona, uzuri wote umerudi, nyonyo zimesimama kama bolibo, nimekua nikimhudumia kama Rafiki Wa kawaida kumsaidia, hali ilikua mbaya sana

Mm sijamgusia neno lolote kuhusu mapenzi, lakini kwa dalili zote ni wazi anataka tuwe pamoja, kwanza alianza kuniomba msamaha kwa Maneno aliyoniambia huko nyuma, kwamba alikua bado mtoto asieweza kufikiri sasa sasa, hakujua anahitaji nini wakati huo, kwamba hayakutoka moyoni mwake, nikamwambia yalishaisha hayo siku nyingi, tukaishia hapo, hatujawahi kuongea way forward, ingawa anafika kwangu Mara nyingi anapika na kufanya usafi kama washikaji tu, maana kuna ndugu wengine naishi nao hapo, mm bahati mbaya kwa upande wangu, mapenzi kwa miaka mingi hayaniendei vizuri, eneo hilo Nina sifuri, sijakua na stable relationship, hata mwaka huwa simalizi na msichana tunashindwana, hata nilie nae sasa hivi ni kama hakuna mwelekeo, Nina watoto wawili Wa wanawake tofauti

Hata hivyo kwa hali ya huyu Dada nimejiuliza ujanja Wa wanawake uko wapi? Jinsi alivyotusumbua Mtaani you can never believe, now she is on her knees, kumbe wanawake wana expire date ikipita Basi inakua dhahama

Sasa Rafiki yangu mmoja ananishauri mchukue huyu mtoto uishi nae, mtoto mzuri kiasi hiki bado unajiuliza uliza? Anasema

Lakini kiukweli Ninasita sana kujihusisha na huyu binti kimapenzi kwa sababu ya maswali yafuatayo

(1) amepita sehemu ngapi, na amehangaika kiasi gani na wanaume hadi kufika hapa?

(2) kwa nini msichana mzuri kiasi kile ameshindwa kuolewa kwa miaka yote hiyo? Watu hawamuoni? Wasichana karibuni wote Mtaani pale nasikia waliolewa tena wengine wabaya Wa sura, yy ilikuaje? Yupo kwenye mid 30s tupo kwenye rika moja mm namzidi kidogo nipo kwenye late 30s

(3)pale Mtaani kuna wengine pia walikua wanamfuatilia enzi hizo je hakuna aliempata?

(4) je sio kwamba ugumu Wa maisha na matatizo yaliyompata ndio yamemleta kwangu na sio Upendo?

(5)je hakuna jambo kubwa lililojificha nyuma ya pazia nisilolijua? Maana sina Wa kumuuliza historia ya huyu Dada baada ya mm kuondoka Mtaani, na wengi waliondoka pale kwenda kutafuta life kwingine

Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujibu haya maswali?

Nb, sehemu niliyoeleza mafanikio ya kielimu na kikazi ni kutaka kukupa picha ya wakati huo nakataliwa na sasa nimefanikiwa, naomba isieleweke vinginevyo
Ushauri wangu ni kama ifuatavyo;

1. Kwanza kabisa usishiriki tendo la ndoa na huyo dada kabala ya kujua background yake since mlivyoachana back in mid 90's. Ndugu yangu find out na ujue track record ya huyo dada vizuri. Acha tamaa za ngono - SUMU HAIONJWI.

2. Kutokana na ulivyo jieleze, '' haupo vizuri kwenye relationship''. Jitafakari na ujitathmnini your capabilities in relationship. Kuishi na mwanamke inahitaji commitments sio tu ya hela, kuna moral commitments, sacrifice na kudediates mambo mengi sana.

3. Kama utaweza mwezeshe ili na yeye aweze simama na kujisupport kwenye maisha yake. Jitahidi kufanya hivyo bila kumlamba. Najua hili linahitaji discipline ya hali ya juu ila itakuwa vizuri kama utammwezesha na yeye pia arun project zake ila mchunguze kama anautayari.

4. Usisahau Oct 25, peoplez......,
 
Hapo umemaliza kila kitu,kama hajaelewa basi akague vyeti vyake labda sio genuine
Unajiuliza na kushangaa kwanini mpaka leo hajaolewa pamoja na uzuri wote aliokuwa nao, kama ni ajabu basi hata wewe unastaajabisha manake mbona hata wewe mpaka leo hujaoa pamoja na mafanikio yote uliyonayo? Na swala la kusema eti kapitiwa na wangapi, kwani wewe umepitia wangap? Anza kutoa kwanza boriti lako ndo utoe la mwenzio
 
MSOMI umejieleza vizuri sana na tumekuelewa ila kuna mahali umekosea:-

-Kumfananisha Mwanamke na bidhaa kama blue band kuwa ana Expiring date.

- Umefanikiwa kimaisha ILA Umesahau kumshirikisha Mungu umwombe akupe Mke mwema,na umezaa na wanawake tofauti bila ndoa. Ni dhambi.

-Kuishi naye siku zoote hizo bila kumwambia muafaka wake,just talk abt her destiny.

Ahsante.
 
Hayo ndio mabadiliko tunayoyahubiri kila siku... Yameanzia kwako... kuwa mwanamabadiliko..inyehs mfano kwa kuoa huyo wa kitaa,,
 
Sikiliza uncle, mwanamke hana expiry date.....alikosa matunzo mbona ulivyomhudumia alinona tena. kama umeamua kumsaidia fanya kama mshikaji....hivyo haina haja akulipe na mapenzi. Chengine, wewe kwanini hujaoa you're in late 30s kwahiyo stop pointing fingers. Sio wadada wote wanakuwa successful katika kila kila.

Tatizo ziaid nilionalo mimi why you can't last in relationship, jipange angalia mwenendo na tabia yako. Hiyo ndo muhimu zaidi kuliko ya Lydia

cc: phillipe baptiste

Yaani mtoa mada ameona wanawake ni kama whitedent kuwa wanaexpire...huu ni udhalilishaji sana,nahisi ni CCM huyu.
 
Last edited by a moderator:
kila mtu ana expiredate sio mwanamke sio nwanaume.
 
Talk about inflated ego..........mtu wa late thirties,with two kids from different women and still you imagine yourself to be
"God gift's to women" smh.
Mkuu, we mchukue tu na uache kujivunga , maana it clear bado unamzimkia. Otherwise who holds grudges this long for this long for someone they dont care for , kuhusu mambo yaliyo tokea utotoni? Hebu jiulize, why years and years later bado unaona wivu about about who she has and/or might have been with. Ilhali you, too are used goods.
 
mh....unaeza oa,kumbe vijana wenzio kule mtaani walishapiga wote,,,,,wakija kukutembelea wamkute hapo sijui inakuaje,,,,mimi dame wa mtaani kwangu sioi

Kaka umenena ukweli mtupu, kwani unaweza kumkaribisha your friend unamwelezea huyu ni mke wangu nampenda sana, kumbe wao wawili wanakuchora kwani huyo mkeo alishatanua miguu akampa jamaa papuchi yake tena sio mara moja, ameigaragaza hata hataki kuiona tena, yaani in short ameikinai
 
Wewe semaukweli tu mzigo ulisha mega long mtu anapika kwako alafu umemuudumia hadi mate yanakutoka unasema kanona aiseee hongera kwakutujulisha na sisi tujue kwamba unamega kifaa cha kitaa😛😛
 
njoo pm maswali yako yoote ntayajibu mpenzi wacha kunitangaza hapa tafadhali
 
Kaka umenena ukweli mtupu, kwani unaweza kumkaribisha your friend unamwelezea huyu ni mke wangu nampenda sana, kumbe wao wawili wanakuchora kwani huyo mkeo alishatanua miguu akampa jamaa papuchi yake tena sio mara moja, ameigaragaza hata hataki kuiona tena, yaani in short ameikinai

mpenzi wako mpya ni wa mwenzio wa zamani acha fikra za kizamani wewe. watu wanaoa ma ex wa kaka zao ije kuwa wa rafiki??????
 
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake
Wakati huo mm nilikua form four yeye form three, vijana wengi sana walijitosa kumtongoza, mm nilikua mmoja wao

Nilikua nampenda sana yule binti, nikamwandikia barua ya mapenzi, siku kadhaa mbele akanijibu kuwa hanitaki kupitia barua pia, maana wakati huo nadhan mtindo Wa kuandika barua za mapenzi ndio ulikua unaelekea ukingoni, nakumbuka kwenye 97+ ndio simu zilianza kuja ingawa waliomudu walikua wachache sana

Nikaona niongee nae uso kwa uso isije ikawa barua yangu ilichakachuliwa na dalali niliemtuma , bado alinijibu Maneno yafuatayo. Kwamba "" nakuchukia, sikupendi, kwanza wewe sio handsome kama flan na flani, hatuendani, hivyo usinifuate fuate, zaidi ya yote kwenu kumechoka, utanipa nini? nikamwelea nikafuta mawazo hayo nika concentrate na masomo yangu

Nikamaliza forum 4 then 6 then nikachaguliwa UDSM, nikafanya computer science and mathematics, then nikapata wafadhili nikapata scholarship nikaenda kufanya masters ya IT university of the Western cape SA
Nikarudi hapa nikakuta ndio mabenki mengi yanaanza mfumo Wa kufanya transactions live online, ndipo watu wengi Wa IT tulipoanza kugombaniwa na mabenki hayo mwanzoni mwa 2000 -2005
Mungu si athumani nikaingia mkataba mnono na benki moja ya makabwela iliyokua imenunua system ya EQUINOX
Ama kweli elimu haitupi mtu

Baade nikaamia benki nyingine ya kigeni ambayo nipo hadi sasa, namshukuru mungu, nimewajengea wazazi nyumba, mm zangu mbili, nimewekeza miradi kadhaa, nimewainua wadogo zangu na kadhalika

Kumbe wanawake huwa wana expire

Kama miezi mitatu iliyopita nikiwa ofisini kwangu, nilipigiwa simu na reception kuwa kuna mgeni wangu anaitwa Lydia tumruhusu aje? Nikajibu ndio, hata hivyo nilijibu ndio bila kujua ni Lydia yupi huyo kaja kunitafuta kazini?

Alipoingia nilishtuka kumuona ni Lydia Wa Mtaani kwetu miaka hiyo,ni yule binti alienikataa kwa mbwembwe, hatukuwahi kuonana tena baada ya mm kumaliza form four na kuondoka mkoani kwa safari ndefu ya shule iliyonifikisha hapa
Nilisonenaka mno moyoni, Lydia amechoka, amedhoofika, nywele zilizokosa matunzo, ingawa uzuri usoni upo lakini amekonda, alionekana wazi maisha yamemtandika vilivyo
Akanieleza alikutana na mama yangu mkoani siku za karibuni ndipo mama akamuelekeza ninapopatikana, binti akadai amenitafuta muda mrefu bila mafanikio hadi alipokutana na mama yangu, maana wazazi walishahama Mtaani long time

Jioni yake tulikaa sehemu tukaongea mengi, nikampeleka changanyikeni anakofikiaga kila akija dar, kumbe Ali fail form 4 na 1999 alifiwa na mama, 2003 Mzee akafariki

Tangu tumekutana July alipokuja ofisini nimekua nikimsaidia mambo mbali mbali, in short anaishi hapa kwa hisani yangu, kwa sasa amenona, uzuri wote umerudi, nyonyo zimesimama kama bolibo, nimekua nikimhudumia kama Rafiki Wa kawaida kumsaidia, hali ilikua mbaya sana

Mm sijamgusia neno lolote kuhusu mapenzi, lakini kwa dalili zote ni wazi anataka tuwe pamoja, kwanza alianza kuniomba msamaha kwa Maneno aliyoniambia huko nyuma, kwamba alikua bado mtoto asieweza kufikiri sasa sasa, hakujua anahitaji nini wakati huo, kwamba hayakutoka moyoni mwake, nikamwambia yalishaisha hayo siku nyingi, tukaishia hapo, hatujawahi kuongea way forward, ingawa anafika kwangu Mara nyingi anapika na kufanya usafi kama washikaji tu, maana kuna ndugu wengine naishi nao hapo, mm bahati mbaya kwa upande wangu, mapenzi kwa miaka mingi hayaniendei vizuri, eneo hilo Nina sifuri, sijakua na stable relationship, hata mwaka huwa simalizi na msichana tunashindwana, hata nilie nae sasa hivi ni kama hakuna mwelekeo, Nina watoto wawili Wa wanawake tofauti

Hata hivyo kwa hali ya huyu Dada nimejiuliza ujanja Wa wanawake uko wapi? Jinsi alivyotusumbua Mtaani you can never believe, now she is on her knees, kumbe wanawake wana expire date ikipita Basi inakua dhahama

Sasa Rafiki yangu mmoja ananishauri mchukue huyu mtoto uishi nae, mtoto mzuri kiasi hiki bado unajiuliza uliza? Anasema

Lakini kiukweli Ninasita sana kujihusisha na huyu binti kimapenzi kwa sababu ya maswali yafuatayo

(1) amepita sehemu ngapi, na amehangaika kiasi gani na wanaume hadi kufika hapa?

(2) kwa nini msichana mzuri kiasi kile ameshindwa kuolewa kwa miaka yote hiyo? Watu hawamuoni? Wasichana karibuni wote Mtaani pale nasikia waliolewa tena wengine wabaya Wa sura, yy ilikuaje? Yupo kwenye mid 30s tupo kwenye rika moja mm namzidi kidogo nipo kwenye late 30s

(3)pale Mtaani kuna wengine pia walikua wanamfuatilia enzi hizo je hakuna aliempata?

(4) je sio kwamba ugumu Wa maisha na matatizo yaliyompata ndio yamemleta kwangu na sio Upendo?

(5)je hakuna jambo kubwa lililojificha nyuma ya pazia nisilolijua? Maana sina Wa kumuuliza historia ya huyu Dada baada ya mm kuondoka Mtaani, na wengi waliondoka pale kwenda kutafuta life kwingine

Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujibu haya maswali?

Nb, sehemu niliyoeleza mafanikio ya kielimu na kikazi ni kutaka kukupa picha ya wakati huo nakataliwa na sasa nimefanikiwa, naomba isieleweke vinginevyo

Ahsante sana kwa kujua kutunga uongo. You are a real liar.
 
Amakufata kwa sababu una hela, una kazi, una mijengo kwa kifupi ww ndio duka lake kwa sasa lkn oa tuu usimind maisha ndio haya haya hakuna mengine.
 
Wewe semaukweli tu mzigo ulisha mega long mtu anapika kwako alafu umemuudumia hadi mate yanakutoka unasema kanona aiseee hongera kwakutujulisha na sisi tujue kwamba unamega kifaa cha kitaa😛😛

na ni dhahiri he cant let it go kaja tu kutudhihirishia tamaa yake juu ya huo mzigo
 
Back
Top Bottom