Nimegundua wanawake huwa wana expire date

Hahaha. Mshukuru cuz alikupa hasira ya kufika ulipo, kwa namna fulani. Quick question tho, hivi kitu kiki-expire kinaweza kurudia ubora wake?

Hahahaaa..this nigga ain't thinking straightforward..kitu kiki expire maanake ni kwishney..ni kuwa hakifai kuliwa ni cha kutupwa..binadamu aki expire maana yake ameshatutoka...hatunaye tena duniani!!!!
 
Kwa mujibu wa Story yako, Tunaassume kama Story yako ni ya kweli.

Tuassume

1997 wewe uko Form 4 yeye yupo 3

Kwa wakati huo watu waliokuwa Masekondari walikuwa ni wakubwa kidogo

Tuna assume

1997 wewe ulikuwa na miaka 20 yeye 18 mpaka leo hii mwaka 2015 wewe una Miaka 38 na yeye ana miaka 36.

Kwa umri huo huyo dada angekuwa ameshaolewa siku nyingi na wewe umeshaoa mda mrefu.

NIMEJARIBU KU ASSUME JAMANI ILA BADO STORY HAILETI UHALISIA HASA KWA HUYO DADA.

NACHOONA HAPA NI "EXPIRE DATE" YA MLETA MADA KUWAAMINISHA WATU KUWA WANA EXPIRE.
 
Kuna binti tulikua tukiishi mtaa mmoja katikati mwa miaka ya tisini, alikua ni mzuri ajabu, kwa lugha ya kawaida hakuna Maneno yanayojitosheleza kuelezea uzuri wake
Wakati huo mm nilikua form four yeye form three, vijana wengi sana walijitosa kumtongoza, mm nilikua mmoja wao

Nilikua nampenda sana yule binti, nikamwandikia barua ya mapenzi, siku kadhaa mbele akanijibu kuwa hanitaki kupitia barua pia, maana wakati huo nadhan mtindo Wa kuandika barua za mapenzi ndio ulikua unaelekea ukingoni, nakumbuka kwenye 97+ ndio simu zilianza kuja ingawa waliomudu walikua wachache sana

Nikaona niongee nae uso kwa uso isije ikawa barua yangu ilichakachuliwa na dalali niliemtuma , bado alinijibu Maneno yafuatayo. Kwamba "" nakuchukia, sikupendi, kwanza wewe sio handsome kama flan na flani, hatuendani, hivyo usinifuate fuate, zaidi ya yote kwenu kumechoka, utanipa nini? nikamwelea nikafuta mawazo hayo nika concentrate na masomo yangu

Nikamaliza forum 4 then 6 then nikachaguliwa UDSM, nikafanya computer science and mathematics, then nikapata wafadhili nikapata scholarship nikaenda kufanya masters ya IT university of the Western cape SA
Nikarudi hapa nikakuta ndio mabenki mengi yanaanza mfumo Wa kufanya transactions live online, ndipo watu wengi Wa IT tulipoanza kugombaniwa na mabenki hayo mwanzoni mwa 2000 -2005
Mungu si athumani nikaingia mkataba mnono na benki moja ya makabwela iliyokua imenunua system ya EQUINOX
Ama kweli elimu haitupi mtu

Baade nikaamia benki nyingine ya kigeni ambayo nipo hadi sasa, namshukuru mungu, nimewajengea wazazi nyumba, mm zangu mbili, nimewekeza miradi kadhaa, nimewainua wadogo zangu na kadhalika

Kumbe wanawake huwa wana expire

Kama miezi mitatu iliyopita nikiwa ofisini kwangu, nilipigiwa simu na reception kuwa kuna mgeni wangu anaitwa Lydia tumruhusu aje? Nikajibu ndio, hata hivyo nilijibu ndio bila kujua ni Lydia yupi huyo kaja kunitafuta kazini?

Alipoingia nilishtuka kumuona ni Lydia Wa Mtaani kwetu miaka hiyo,ni yule binti alienikataa kwa mbwembwe, hatukuwahi kuonana tena baada ya mm kumaliza form four na kuondoka mkoani kwa safari ndefu ya shule iliyonifikisha hapa
Nilisonenaka mno moyoni, Lydia amechoka, amedhoofika, nywele zilizokosa matunzo, ingawa uzuri usoni upo lakini amekonda, alionekana wazi maisha yamemtandika vilivyo
Akanieleza alikutana na mama yangu mkoani siku za karibuni ndipo mama akamuelekeza ninapopatikana, binti akadai amenitafuta muda mrefu bila mafanikio hadi alipokutana na mama yangu, maana wazazi walishahama Mtaani long time

Jioni yake tulikaa sehemu tukaongea mengi, nikampeleka changanyikeni anakofikiaga kila akija dar, kumbe Ali fail form 4 na 1999 alifiwa na mama, 2003 Mzee akafariki

Tangu tumekutana July alipokuja ofisini nimekua nikimsaidia mambo mbali mbali, in short anaishi hapa kwa hisani yangu, kwa sasa amenona, uzuri wote umerudi, nyonyo zimesimama kama bolibo, nimekua nikimhudumia kama Rafiki Wa kawaida kumsaidia, hali ilikua mbaya sana

Mm sijamgusia neno lolote kuhusu mapenzi, lakini kwa dalili zote ni wazi anataka tuwe pamoja, kwanza alianza kuniomba msamaha kwa Maneno aliyoniambia huko nyuma, kwamba alikua bado mtoto asieweza kufikiri sasa sasa, hakujua anahitaji nini wakati huo, kwamba hayakutoka moyoni mwake, nikamwambia yalishaisha hayo siku nyingi, tukaishia hapo, hatujawahi kuongea way forward, ingawa anafika kwangu Mara nyingi anapika na kufanya usafi kama washikaji tu, maana kuna ndugu wengine naishi nao hapo, mm bahati mbaya kwa upande wangu, mapenzi kwa miaka mingi hayaniendei vizuri, eneo hilo Nina sifuri, sijakua na stable relationship, hata mwaka huwa simalizi na msichana tunashindwana, hata nilie nae sasa hivi ni kama hakuna mwelekeo, Nina watoto wawili Wa wanawake tofauti

Hata hivyo kwa hali ya huyu Dada nimejiuliza ujanja Wa wanawake uko wapi? Jinsi alivyotusumbua Mtaani you can never believe, now she is on her knees, kumbe wanawake wana expire date ikipita Basi inakua dhahama

Sasa Rafiki yangu mmoja ananishauri mchukue huyu mtoto uishi nae, mtoto mzuri kiasi hiki bado unajiuliza uliza? Anasema

Lakini kiukweli Ninasita sana kujihusisha na huyu binti kimapenzi kwa sababu ya maswali yafuatayo

(1) amepita sehemu ngapi, na amehangaika kiasi gani na wanaume hadi kufika hapa?

(2) kwa nini msichana mzuri kiasi kile ameshindwa kuolewa kwa miaka yote hiyo? Watu hawamuoni? Wasichana karibuni wote Mtaani pale nasikia waliolewa tena wengine wabaya Wa sura, yy ilikuaje? Yupo kwenye mid 30s tupo kwenye rika moja mm namzidi kidogo nipo kwenye late 30s

(3)pale Mtaani kuna wengine pia walikua wanamfuatilia enzi hizo je hakuna aliempata?

(4) je sio kwamba ugumu Wa maisha na matatizo yaliyompata ndio yamemleta kwangu na sio Upendo?

(5)je hakuna jambo kubwa lililojificha nyuma ya pazia nisilolijua? Maana sina Wa kumuuliza historia ya huyu Dada baada ya mm kuondoka Mtaani, na wengi waliondoka pale kwenda kutafuta life kwingine

Kuna yeyote anaweza kunisaidia kujibu haya maswali?

Nb, sehemu niliyoeleza mafanikio ya kielimu na kikazi ni kutaka kukupa picha ya wakati huo nakataliwa na sasa nimefanikiwa, naomba isieleweke vinginevyo

Bahati mbaya tu ulisomea science otherwise ungekuwa Shigongo kwa uandishi.
 
nafikiri kuna mambo mawili waweza fanya
1.msaidie awe na maisha yake mwenyewe,keeping in mind that huyo ni yatima,alifiwa na wazazi wake kitambo,huenda maisha yake yameharibika kutokana na hilo
2.Kama bado wampenda muoe.....lkn kwa kuzingatia ushauri wa watu hapa
NB:usimuache bila kumsaidia,maana mtu akiwa na shida huomba Mungu,Mungu hashuki kuja kumjibu mtu,hujibu maombi ya mtu kupitia mtu,unaweza ukawa wewe ndo umechaguliwa na Mungu umsaidie.

Unamaanisha tar 25 asipewe kura?
 
Hahahaha Mwanakijiji anataka kumpamngia kazi Mungu,,,,nime ipenda hiyo.
Hapo sasa, kama Mzee Mwanakijiji kahamasisha watu wafunge na kuomba kwa siku 40 kule Facebook ili ccm iondolewe madarakani hatimaye Mungu kajibu maombi kaletwa Lowasa, Mwanakijiji hataki anataka kumpangia Mungu Rais awe nani.
 
Kwanza tumejua kama umesoma na unafanya kazi bank, pia unamoyo wakusaidia endelea na huo moyo lkn punguza sifa za kijinga
 
Hapo sasa, kama Mzee Mwanakijiji kahamasisha watu wafunge na kuomba kwa siku 40 kule Facebook ili ccm iondolewe madarakani hatimaye Mungu kajibu maombi kaletwa Lowasa, Mwanakijiji hataki anataka kumpangia Mungu Rais awe nani.

Nimeipenda hii, Mzee Mwanakijiji ameishiwa pumzi, na kwa sasa ana akili za kushikiwa!
 
Last edited by a moderator:
Hapo sasa, kama Mzee Mwanakijiji kahamasisha watu wafunge na kuomba kwa siku 40 kule Facebook ili ccm iondolewe madarakani hatimaye Mungu kajibu maombi kaletwa Lowasa, Mwanakijiji hataki anataka kumpangia Mungu Rais awe nani.

I told Mwanakijiji the same thing...na kwa taarifa yake hawezi kumpangia Mungu!
 
Last edited by a moderator:
mh....unaeza oa,kumbe vijana wenzio kule mtaani walishapiga wote,,,,,wakija kukutembelea wamkute hapo sijui inakuaje,,,,mimi dame wa mtaani kwangu sioi
hio sio hoja,,,kama anadhan anaweza kusih nae afanya ivo suala la kupigwa kufikiria n ujinga
 
Suala ni kwamba alikuwa hakupendi na huo ndio ukweli na sasa hivi anakupenda sababu wewe una pesa.

Kukukataa kipindi cha zamani sio kosa kwake coz pia alikuwa na vigezo vyake na wewe sasa hivi kuwa na pesa na uwezo sio ndio kibali cha kumnyanyasa maana umesema umeamua mwenyewe kwa makubaliano yenu, nimeongea hivi kutokana na maelezo uliyoyatoa kwamba maybe sasa hivi amechoka kutokana na kwamba alikukataa we we which is wrong...this is to emotional.

Everything hurts ndugu all the time.
 
Unajiuliza na kushangaa kwanini mpaka leo hajaolewa pamoja na uzuri wote aliokuwa nao, kama ni ajabu basi hata wewe unastaajabisha manake mbona hata wewe mpaka leo hujaoa pamoja na mafanikio yote uliyonayo? Na swala la kusema eti kapitiwa na wangapi, kwani wewe umepitia wangap? Anza kutoa kwanza boriti lako ndo utoe la mwenzio

nimeipenda hii mrsleo.well said.....:A S 41:
 
ha ha ha mfa maji haishi kutapatapa loh ni kujipa moyo tu huko inawezekana alkukataaa mana mkikataliwa mnaongea mabaya yooote pole jifunze kuwa gentlo man
 
Acha nae mfanye rafiki wakawaida tu,usiwe dhaifu kiasi hicho your a man!
 
Back
Top Bottom