hewizet
JF-Expert Member
- Mar 17, 2013
- 2,531
- 1,683
Picha haionekani vizuri embu ni pm afu ntakuja kuwaelezea wanao ku-doubtSijaelewa why mndoubt mwandiko wangu.
Haya bhana mimi ni ke kama mnavyoona hapo kwenye avatar.
Picha haionekani vizuri embu ni pm afu ntakuja kuwaelezea wanao ku-doubtSijaelewa why mndoubt mwandiko wangu.
Haya bhana mimi ni ke kama mnavyoona hapo kwenye avatar.
Hivi kweli nawewe ununue s8 kwa bei hiyo hata mie sinunui kwakweli muda mwingine jaribu linganisha bei halisi na bei ya mnada lazima iwe hata nusu ya ile halisi simu dukani 1.5 huko unauziwa 180k unakubali
Yaani kausha tu kama umetoa sadaka
Pambafu S8 180k?? sijapata onaTatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
Kwa maelezo haya;wewe ni mshamba wa mkoani,yaani s6 iuzwe 180k?unajua cm kweli wewe?mpe toi mwanao achezee hakuna cm hapo!
Daaaah! Haya bhanaPambafu S8 180k?? sijapata ona
Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
Lakini hiyo bado haijafa wewe endelea tu kutulingishiaMazingira ya uuzwaji ndio yalonifanya nikanunua.
Alafu kama kitu hukijui mkuu sio rahisi kugundua, sijawahi kutumia Samsung pia ndio maana nikaliwa kiboya aiseee hahaaa nacheka kama mazuri ila karoho kananiuma! Hapo kwa hiyo 180k ningejipatia ka tecno pop 1 masikini ya Mungu nikasukumia maisha.
Picha ziko vizuri. Kinachonikera ni ile kuchemka na kustuck mara kwa mara pamoja na apps kugoma.Lakini hiyo bado haijafa wewe endelea tu kutulingishia
Picha ziko vizuri ee?😊
Kilimo kijijini hahaaMjini shule
Hujalala tu..??Picha ziko vizuri. Kinachonikera ni ile kuchemka na kustuck mara kwa mara pamoja na apps kugoma.
180k inafaa kabisa kwa simu fake wala usilalamike
Wewe endelea kuvimba tu😂 kwenye mwendokasi wala hatutajua ni fakeYeah kwa upande mwingine its okey! Naamini kuna waliolizwa zaidi yangu.
Hujalala tu..??
Kama camera iko mwake wee endelea kutamba mama ikipata moto toa betri weka pembeni sikilizia kidogo rudishia tena
Yeah kwa upande mwingine its okey! Naamini kuna waliolizwa zaidi yangu.
Fundi wa simu fake😳😳?Bado kidogo kama nusu saa hivi
Natumia tu sina ujanja, TCRA wakiifungia basi. Kuna Fundi kaicheki kasema anaweza kuirekebisha ndo namsikilizia
Wewe endelea kuvimba tu😂 kwenye mwendokasi wala hatutajua ni fake
😊poleWewe umenifanya nicheke kwa sauti!
Fundi wa simu fake😳😳?
Atatengeneza iwe original au mimi ndo sijakuelewa? If yes anatengeneza iwe original hiyo pesa itunze ufanyie mambo mengine
Btw ukitaka kulala unitag