Nimetumiwa ujumbe kuwa Simu yangu ni BANDIA, nibadilishe itafungiwa

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Huu ni ujumbe nimetumiwa na TCRA baada ya kufuata maelekezo haya ya kupiga *#06# na kufuata maelekezo kwenye simu yangu IMEI haijaoana.

Kimsingi nimenunua simu aina ya Infinix hot 10i haijamaliza hata mwezi nilipofanya hilo zoezi nikaletewa ujumbe huo. Ndivyo Infinix zilivyo ama nimeuziwa feki nimrudie mwuzaji? Msaada kwenye tuta plz.

Screenshot_20211105-213731.jpg
Screenshot_20211105-165243.jpg
 
Hiyo simu ni Infinix Smart 5 Pro ?
Mimi naiona inatambulika...
Brand:INFINIX
Model:Smart 5 Pro
Product brandInfinix
Product modelX658E
Equipment IMEI358079913842987
Valid Activated Date14 October 2021
Warranty Ended14 October 2022
Warranty StatusActive
Date of checking05 November 2021, 07:16:13 PM
 
Aisee kwa hiyo jamaa katapeliwa
 
Aisee kwa hiyo jamaa katapeliwa
Sidhani, Labda atuwekee picha inafananaje, hizo model huwa zinanichanganya majina na code zao, ila na processor za MediaTek kubadili IMEI ni rahisi sana...kiufupi TCRA akiipiga pini huku unaibukia kwingine japokuwa wanasema ni kosa kisheria

Hapa atatuambia inafananaje kati ya hizo mbili
IMG_20211105_231352.jpg
 
Huu ni ujumbe nimetumiwa na TCRA baada ya kufuata maelekezo haya ya kupiga *#06# na kufuata maelekezo kwenye simu yangu IMEI haijaoana.

Kimsingi nimenunua simu aina ya Infinix hot 10i haijamaliza hata mwezi nilipofanya hilo zoezi nikaletewa ujumbe huo. Ndivyo Infinix zilivyo ama nimeuziwa feki nimrudie mwuzaji? Msaada kwenye tuta plz.View attachment 2000037View attachment 2000038
watu wengi wanatumia simu kama hiyo na hawajawahi kutumiwa ujumbe huo, ni bora urudishe tu mapema kwa muuzaji, itakuwa ni kopi yake umeuziwa na sio original
 
Jamani na kama natumia samsung nikacheki IMEI no nikajibiwa hivi inakuaje! Au ndo nilipigwa??? Yaani natumia samsung alafu device name iwe olvio mh sjui na manufacturer awe walton plaza aisee! Msaada tafadhali
20211106_032504.jpg
 
Huu ni ujumbe nimetumiwa na TCRA baada ya kufuata maelekezo haya ya kupiga *#06# na kufuata maelekezo kwenye simu yangu IMEI haijaoana.

Kimsingi nimenunua simu aina ya Infinix hot 10i haijamaliza hata mwezi nilipofanya hilo zoezi nikaletewa ujumbe huo. Ndivyo Infinix zilivyo ama nimeuziwa feki nimrudie mwuzaji? Msaada kwenye tuta plz.View attachment 2000037View attachment 2000038
Umenunua dukani au kwa mtu tu???
 
Sidhani, Labda atuwekee picha inafananaje, hizo model huwa zinanichanganya majina na code zao, ila na processor za MediaTek kubadili IMEI ni rahisi sana...kiufupi TCRA akiipiga pini huku unaibukia kwingine japokuwa wanasema ni kosa kisheria

Hapa atatuambia inafananaje kati ya hizo mbili
View attachment 2000113
Iko muundo huu
Screenshot_20211106-054023.jpg
 
Hiyo simu ni Infinix Smart 5 Pro ?
Mimi naiona inatambulika...
Brand:INFINIX
Model:Smart 5 Pro
Product brandInfinix
Product modelX658E
Equipment IMEI358079913842987
Valid Activated Date14 October 2021
Warranty Ended14 October 2022
Warranty StatusActive
Date of checking05 November 2021, 07:16:13 PM
Yakwako Iko sawa. Yangu haileti huo ujumbe kama wako inaleta ujumbe niliopost. Yangu ni Infinix hot 10i
 
Jamani na kama natumia samsung nikacheki IMEI no nikajibiwa hivi inakuaje! Au ndo nilipigwa??? Yaani natumia samsung alafu device name iwe olvio mh sjui na manufacturer awe walton plaza aisee! Msaada tafadhaliView attachment 2000178
Jaribu kutuma ujumbe wa kawaida kwenda 15090 yaani sms. Hapa ukiweka IMEI yoyote inakutajia Ila kwenye simu husika jaribu kutuma ujumbe
 
Back
Top Bottom