Nimegundua simu yangu ni feki. Daaaah!

Nimegundua simu yangu ni feki. Daaaah!

Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
Kwani wewe Samsung S8 ulikuwa umeshawahi kuiona hapo kabla?
 
Pole na mkasa wako. Ila kama ulinunua 180k bado ulipigwa. Maana tekno ya specs kama izo inauzwa 150. Pia S8 ni simu ya ghalama sana. Hata kama nu ya mnada ulitakiwa kuipata kwa 500k japo soko la mikonono bongo unaipata kwa 800k. Halafu Chief. Mkwawa hajawai ongelea Simu fake. Mkwawa aliongelea simu OG ambazo zimediverge region. Mfano. Simu ya Verizon, Tmobile, Sprint au Doccomo ije Tanzania.

Kwa kifupi iyo simu unayotumia ni Kimeo zaidi hata ya Tecno P3.

Vipi uo mnada wa simu ndo uko wapi?? Maana sijawai usikia
 
Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
Unazngua....ulvyosema unakaonea huruma kahela kako nikajua wamekupga 900+ hukoooooooooo[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Mtafute dent umuonge hyooo
 
Hiyo picha ya Samsung S9 ndo ambayo imenivunja mbavu, hata mfanano kwa ukaribu haina kabisa, anyways pole next time utajifunza.
 
Pole sana ndugu sio wewe tu hata mm yalinikuta nilinunuwa sm kwenye midada kila nikifunguwa data inazima
 
Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
S8 kwa 180k?hapo hakuna tatizo hata ikiwa fekero
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
sasa S8 ukachukua kwa 180k
seriously ulidhani ni Og????
hapo kama huna shida sanaaa
ipige chini achana nayo tafut nyingine
Hapo kanunua kitu sawa kabisa kwa bei hiyo tofauti ilo jina la simu tu wangeiita tukunyenye tu sio S8
 
Mazingira ya uuzwaji ndio yalonifanya nikanunua.
Alafu kama kitu hukijui mkuu sio rahisi kugundua, sijawahi kutumia Samsung pia ndio maana nikaliwa kiboya aiseee hahaaa nacheka kama mazuri ila karoho kananiuma! Hapo kwa hiyo 180k ningejipatia ka tecno pop 1 masikini ya Mungu nikasukumia maisha.
Kiukweli huwa ni uzembe na si kutokujua. Kwa sababu kwa kawaida hata Google tu wanakuambia aina ya simu unayotumia. Ukiweka tu email yako ya Gmail.lazima wakuletee jina halisi la hiyo simu pamoja model yake. Sema kwa uzembe huwa mnapotezea!
 
Back
Top Bottom