Nimegundua simu yangu ni feki. Daaaah!

Nimegundua simu yangu ni feki. Daaaah!

😊pole

Kwani tutajua ni fake?

Tena weka na cover kali tukukome😂

Sinaga mambo nayo mkuu. Mi simu natumia nikiwa nimetulia kama hivi, naperuzi mitandaoni naona yaliyojiri ulimwenguni baaasi. Nina kitochi changu kidogo ndo natembea nacho kila mahali
 
Kwa upande wa kustuck na apps kustop mara kwa mara sio iwe original mkuu.
Hapo kwenye kustuck umenifanya nikumbuke huawei Y 300 ilistuck haikupona hadi leo ni kopo, nilienda kwa fundi akanambia software imefika mwisho

Sikutishi ila jaribu inaweza kuwa bado ina muda mrefu mbele!
 
Sinaga mambo nayo mkuu. Mi simu natumia nikiwa nimetulia kama hivi, naperuzi mitandaoni naona yaliyojiri ulimwenguni baaasi. Nina kitochi changu kidogo ndo natembea nacho kila mahali
Nikajua ndo wale wasiotaka kutulia na simu zao kwenye mikusanyiko.

Hongera, you might be smart!
 
Ndio maana sina urafiki kabisa na Samsung, juzi morogoro kuna mmasai kaja na simu yake kwa jamaa yangu akawa anaulizia battery yake jamaa kamwambia ziko za simu original tuu hiyo yako kama wiki 2 nitakuletea china.. Daah.. Masai kauliza kwa hiyo hii ni feki jamaa kamwambia ndio jibu.. Kachoka.. [emoji2]

Kama mmasai ni sawa tu.
 
Mkuu pole sana wewe kweli ni Mbwiga wa Mbwiguke,hayo ilitakiwa uyafanye wakati unataka kununua,siku hz ukiwa na imei unaweza kujua kama ni IMEI inaendana na simu au cloned..
 
Mkuu pole sana wewe kweli ni Mbwiga wa Mbwiguke,hayo ilitakiwa uyafanye wakati unataka kununua,siku hz ukiwa na imei unaweza kujua kama ni IMEI inaendana na simu au cloned..

Nyie niiteni majina yote mi kwangu poa tu. Si ndo kama hivi tunatoana umbwiga mkuu au sio?! hahaa
 
ROOT ANDROID 6.0 BILA PC

OI WADAU LEO NIMEWALETEA NJIA RAHISI HII HAPA YA NAMNA YA KUROOT SIMU SUMBUFU NAMAANISHA Android 6.0+

Uzuri wa hii trick hata asiye na PC anaweza ilimradi simu iwe na charge ya kutosha

Sasa fungua link hiyo kuna kila maelekezo

Tech zone: Jinsi ya kuroot android 6.0,6.0.1 version bila PC
 
Mkuu S8 haijawahi kuwa 180 labda kama ni brand nyingine mbali na samsung.
Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
 
Mnaotaka picha nitatuma baadae nikitulia muione ili na wengine wasije wakapigwa kama Mimi.

Yaani kila siku naigundua vitu vipya. Leo nimeobserve keyboard pia sio, yaani Tecno mtupu!!!
 
Back
Top Bottom