Nimegundua simu yangu ni feki. Daaaah!

Nimegundua simu yangu ni feki. Daaaah!

Kwanza kabisa nimshukuru member anayeitwa Chief-Mkwawa pamoja na wadau wote wa technolojia waliochangia kwenye ile thread inayohusu simu feki za mitandao ya kikorea, China na marekani....asanteni kwa kunifumbua macho!

Nilinunua Samsung s8 active ikawa haiperforme vizuri, inaganda tu apps zinastopp mara kwa mara. Nikaamua kugoogle ili nijue tatizo na suluhisho lake ndio nikaiona hiyo thread nikasoma vizuri nikafuata maelezo hatimae nikagundua simu yangu ni feki hata imei number haiendani na muundo wa simu daaaaah sijui naifanyaje maana kahela kangu kananiuma mweeeeeh!! Nikifikiria kuwa TCRA wanazifungia ndo nachoka kabisaaaa! Alafu simu yenyewe niliinunua kwenye mnada.......hivi naweza kuirudisha kwa hao jamaa kweli? Maana wao ni madalali japo nina risiti

Nimecheck kwa ile namba ya TCRA pamoja na Imei info naletewa NONY 312 wakati simu ni S8 active khaaaaa!! Internal memory inasoma 128 GB alafu nikatumia 3Gb tu simu imejaaa hahahaaa wacha tu nijicheke maana sijui hata naifanyaje!!!

1. Je, inaweza kufanyiwa ujanja wowote nikaendelea kuitumia kama kawaida bila matatizo yeyote na TCRA wasiizime?
2. Nina risiti ya brokers, Je naweza kuwarudishia simu wakaipokea wakakubali kunirudishia hela yangu?
3. Any other option? Maoni yenu wadau maana nishachanganyikiwa naogopa hata kumuuzia mtu asije akagundua akanishitaki bure!

N.B tusiozijua simu vizuri nashauri turudi tu kwenye tecno. Tecno hata mikoani wana matawi yao ila hizi simu zingine brand kubwa kubwa ni maumivu tu hata ukienda dukani changa la macho ni la kufikia!
Weka picha ya simu mkuu....,halafu uje inbox tubonge business....... Ukapate hela ya nyamachoma.
 
Mkuu ungeanza na kudownload cpu z playstore na kisha ueke details muhimu hapa ikiwezekana screenshots. Vitu kama soc, gpu, ram etc
 
Inagoma kudownload chochote inaniandikia error can't install .....
 
Ngoja nitafute simu nyingine niipige picha maana ndio hii natumia
 
Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi

Hivi kweli nawewe ununue s8 kwa bei hiyo hata mie sinunui kwakweli muda mwingine jaribu linganisha bei halisi na bei ya mnada lazima iwe hata nusu ya ile halisi simu dukani 1.5 huko unauziwa 180k unakubali
Yaani kausha tu kama umetoa sadaka
 
Kwa maelezo haya;wewe ni mshamba wa mkoani,yaani s6 iuzwe 180k?unajua cm kweli wewe?mpe toi mwanao achezee hakuna cm hapo!
Kwanza kabisa nimshukuru member anayeitwa Chief-Mkwawa pamoja na wadau wote wa technolojia waliochangia kwenye ile thread inayohusu simu feki za mitandao ya kikorea, China na marekani....asanteni kwa kunifumbua macho!

Nilinunua Samsung s8 active ikawa haiperforme vizuri, inaganda tu apps zinastopp mara kwa mara. Nikaamua kugoogle ili nijue tatizo na suluhisho lake ndio nikaiona hiyo thread nikasoma vizuri nikafuata maelezo hatimae nikagundua simu yangu ni feki hata imei number haiendani na muundo wa simu daaaaah sijui naifanyaje maana kahela kangu kananiuma mweeeeeh!! Nikifikiria kuwa TCRA wanazifungia ndo nachoka kabisaaaa! Alafu simu yenyewe niliinunua kwenye mnada.......hivi naweza kuirudisha kwa hao jamaa kweli? Maana wao ni madalali japo nina risiti

Nimecheck kwa ile namba ya TCRA pamoja na Imei info naletewa NONY 312 wakati simu ni S8 active khaaaaa!! Internal memory inasoma 128 GB alafu nikatumia 3Gb tu simu imejaaa hahahaaa wacha tu nijicheke maana sijui hata naifanyaje!!!

1. Je, inaweza kufanyiwa ujanja wowote nikaendelea kuitumia kama kawaida bila matatizo yeyote na TCRA wasiizime?
2. Nina risiti ya brokers, Je naweza kuwarudishia simu wakaipokea wakakubali kunirudishia hela yangu?
3. Any other option? Maoni yenu wadau maana nishachanganyikiwa naogopa hata kumuuzia mtu asije akagundua akanishitaki bure!

N.B tusiozijua simu vizuri nashauri turudi tu kwenye tecno. Tecno hata mikoani wana matawi yao ila hizi simu zingine brand kubwa kubwa ni maumivu tu hata ukienda dukani changa la macho ni la kufikia!
 
Tatizo niliinunua kwenye mnada 180k, mtu alifilisiwa duka. Hao madalali wanaweza kushitakiwa kweli? Hofu yangu ndo hiyo, ingekuwa dukani ningeshairudisha tangu asubuhi
duh! pole yaani s8 kwa 180k na ukategemea iwe og wakati mpya imesimama 1.9 mil
Screenshot_2018-10-15-15-58-13.png
 
R
kama risiti unayo nenda mahali uliponunua uwaelezee tatz lako
wakileta fyoko fyoko
nenda zako Tcra au polisi kawashitaki kwa kuleta bidhaa fake coz n moja ya kuhujumu...
uzuri wake unayo risiti
Risiti ni EFD
 
Sasa Mkorea kahusika nini hapo.?
Au ndio alikuwa mpiga mnada.
 
Back
Top Bottom