cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 116,793
- 189,247
Yeye anaosha pua tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilikuwa nasafisha macho tu
Yeye anaosha pua tyuuh. [emoji23][emoji23][emoji23]Mimi nilikuwa nasafisha macho tu
Mkuu inaonekana unaifahamu tinder vizuri sana, hongeraTaarifa yako mbona kama una ukakasi. Tinder haileti users wote wa nchi nzima, inaleta eneo ulilopo.
Sasa wewe kusema tu tinder imeleta majina ya demu wako yuko Uk huo ni uongo wa wazi kabisa mkuu.
So mtandao wa malaya ni upi mkuu?Bro Tinder sio mtandao wa malaya. Ni mtandao tu wa kujuana na watu kama ilivyo mitandao mingine.
Win win situation !![emoji28][emoji23][emoji23][emoji23]ye muuzaji we mnunuzi
oke oke
akae atulie km ananunua anunue[emoji23][emoji23][emoji23]
Ila wengine wanasoma kwani wa huku wote wanafanyaje chuo huo muda unapita namtu anapata kazi anaendelea kuishi malaya wangapi wanaolewaHuko ulaya alikuambia anafanya kitu gani?
Mademu wengi wa Kibongo huko ulaya,Marekani na China kazi yao kubwa ni kuuza "papuchi na marinda"
Malaya ni Malaya tu. Once a Malaya always a Malaya.Ila wengine wanasoma kwani wa huku wote wanafanyaje chuo huo muda unapita namtu anapata kazi anaendelea kuishi malaya wangapi wanaolewa
Hapana na katraaMalaya ni Malaya tu. Once a Malaya always a Malaya.
You can't turn a hoe into a housewife
Kwanini, usipingane na busara za mtaaHapana na katraa
SanaPole sana ndio maisha ulaya kuna mambo mengi
It turns outKwahiyo yule mtoto wa kigogo aliyepata kazi huko nje ya nchi ndiyo anajiuza?
Yupo uingereza mwaka sasaAnauzaje kitumbua ulaya wakati upo nae Tz mkuu au anairusha Kwa Bluetooth?Nifafanulie Maana shule nlikuwa a bit slow.
Hii id inafanana sana na manzi wangu.Utafeel free mie kipindi na wachumba 3 nikichitiwa na mmoja nawauliza wengine babe upo free akisema yes naenda na wine yeye kaanda chakula naoga nampa malavi davi mpaka kesho yake mchana ijioni narudi kwetu kichwa ina relax.nasahau sime how pombe na huo muda nimepewa changu, Ila for now natafuta forever babe so kujichanganya na watu ni karaha tu. Ila wewe ushatendwA jichanganye na second wife. Au lala usingizi ukiwa tungi nayo ni raha sana
Labda tinder anasaka marafiki shee,Sio lazima awe anazabuliwaYupo uingereza mwaka sasa