Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

.
cup-of-tea-teapot.gif
 
What will happen nkifanya hivi?
Utafeel free mie kipindi na wachumba 3 nikichitiwa na mmoja nawauliza wengine babe upo free akisema yes naenda na wine yeye kaanda chakula naoga nampa malavi davi mpaka kesho yake mchana ijioni narudi kwetu kichwa ina relax.nasahau sime how pombe na huo muda nimepewa changu, Ila for now natafuta forever babe so kujichanganya na watu ni karaha tu. Ila wewe ushatendwA jichanganye na second wife. Au lala usingizi ukiwa tungi nayo ni raha sana
 
Taarifa yako mbona kama una ukakasi. Tinder haileti users wote wa nchi nzima, inaleta eneo ulilopo.

Sasa wewe kusema tu tinder imeleta majina ya demu wako yuko Uk huo ni uongo wa wazi kabisa mkuu.
 
Ili ujue kama upo na mwanamke mrahisi au niaje, mpe rafiki namba yake mwambie ajaribu kuwasiliana nae kwa namna yoyote ile, amtongoze. Utaona maajabu ya dunia.
 
Ili ujue kama upo na mwanamke mrahisi au niaje, mpe rafiki namba yake mwambie ajaribu kuwasiliana nae kwa namna yoyote ile, amtongoze. Utaona maajabu ya dunia.
Weeeewe, siku hizi watu tumekuwa wajanja. Hiyo ilifanyaga kazi miaka hiyo ya 2000
 
Weeeewe, siku hizi watu tumekuwa wajanja. Hiyo ilifanyaga kazi miaka hiyo ya 2000
Usibishe Hannah, hizo mbinu hadi leo zinafanyiwa kazi na matokeo yanaonekana. Nina rafiki alifanya hivyo na alichobaini kitakushangaza, hadi mdada aliridhia kuliwa nyuma, believe me not.
 
Wataalamu,
Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana.
Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya.

Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. nimewasha vpn ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder.
Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu nilyekuwa na mpango wa kumuoa yupo tinder.

Nimeumia sana wakuu, kichwa imewaka moto. Hapa moja haikai mbili haikai, siku imeharibika hata sielewi nifanyeje.

Hapa Ninaenda kwa mangi kuagiza kreti Zima. Kabla akili hazijawa sio Zangu na sijafanya maamuzi magumu, naombeni mnishauri nifanye nini wakuu.
Subiri BICHWA KOMWE - alete ufafanuzi mujarabu
 
Acha kupanic mkuu. Huenda hiyo account sio yake.

Miaka fulani mimi na jamaa yangu tuliwahi kutengeneza profiles nyingi sana FB na IG za wadada warembo kutoka Rwand, Eritrea, Ethiopia, Zimbabwe na South Africa. Lengo ni kutangaza biashara yetu ya cosmetics na dawa za kuongeza shape.

Cha ajabu message za mitongozo zilikuwa nyingi kuliko watu kuulizia budhaa.

Hata wewe usishangae picha zako zipo kwenye accounts mbalimbali za kutafuta wapenzi na mbaya zaidi unakuta picha yako ipo kwenye mitandao ya LGBTQ.

Jaribu kuwa optimistic.
 
Wataalamu,

Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana.

Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya.

Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder.

Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu niliyekuwa na mpango wa kumuoa yupo tinder.

Nimeumia sana wakuu, kichwa imewaka moto. Hapa moja haikai mbili haikai, siku imeharibika hata sielewi nifanyeje.

Hapa Ninaenda kwa mangi kuagiza kreti Zima. Kabla akili hazijawa sio Zangu na sijafanya maamuzi magumu, naombeni mnishauri nifanye nini wakuu.
Wanawake siku hizi ni wajasiriamali, kuwa mpole tafuta mwengine maisha yaendelee
 
Back
Top Bottom