Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

Nimegundua Mwanamke wangu anajiuza

Pumbavu kabisa unalewa kisa mwanamke mwili wake anao matumizi yake we unawashwa nini.
We oa tu atatulia ndani,nani asiye Malaya.
 
Kuwa makin piah may be aliwahiigi kuingia muda murefu katika kuchezeachezea akawa amejisaji pila kujua so kuwa na taarifa za uhakikiq
 
Usibishe Hannah, hizo mbinu hadi leo zinafanyiwa kazi na matokeo yanaonekana. Nina rafiki alifanya hivyo na alichobaini kitakushangaza, hadi mdada aliridhia kuliwa nyuma, believe me not.
Kwenye kuliwa nyuma hapo, jamaa alipobaini alibwaga manyanga, au yeye ndo akaanza kutafuna kisamvu.?
 
Utafeel free mie kipindi na wachumba 3 nikichitiwa na mmoja nawauliza wengine babe upo free akisema yes naenda na wine yeye kaanda chakula naoga nampa malavi davi mpaka kesho yake mchana ijioni narudi kwetu kichwa ina relax.nasahau sime how pombe na huo muda nimepewa changu, Ila for now natafuta forever babe so kujichanganya na watu ni karaha tu. Ila wewe ushatendwA jichanganye na second wife. Au lala usingizi ukiwa tungi nayo ni raha sana
Kwahyo umeuzaaaa kipochi manyoya wee saiv unataka umtwishe mtu zigo la dhambi[emoji119][emoji119]
 
Wataalamu,

Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana.

Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya.

Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder.

Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu niliyekuwa na mpango wa kumuoa yupo tinder.

Nimeumia sana wakuu, kichwa imewaka moto. Hapa moja haikai mbili haikai, siku imeharibika hata sielewi nifanyeje.

Hapa Ninaenda kwa mangi kuagiza kreti Zima. Kabla akili hazijawa sio Zangu na sijafanya maamuzi magumu, naombeni mnishauri nifanye nini wakuu.
Weka namba yake hapa
 
Tinder ni online dating site. Kule kuna wanaotafuta wanaume wa kizungu ili kuolewa na kuna wako huko kuuza ngono online au physically kama wako nearby. Sasa umeshafahamu wa kwako yuko kundi lipi? Na ukweli kama ameingia tinder ujue wewe ni option sasa anatafuta real na possibly mzungu. Piga chini anza maisha upya. Mshukuru Mungu amekuonesha mapema. Badala ya kununua crate ya bis chukua hiyo pesa toa Sadaka Kwa Maskini ili kumshukuru Mungu kwa kukufunulia mapema ili uchape lapa. Wanaume wa ukweli hatulii tukiachwa bali tunagonga vifua tunasonga mbele.
 
Na yeye huyu jamaa Tinder huko alikua anatafuta nn?
 
Mbona kawaida mzee ndio maana tunawaambia mkue myaone.
 
Wataalamu,

Acheni tu, leo mjukuu wenu Niko oves sana.

Nimegundua Dem wangu kumbe anafanya kazi ya kujiuza huko Ulaya.

Kilichonifanya nigundue ni kama bahati tu. Nimewasha VPN ikasoma UK halafu nikaingia mtandao wa tinder.

Ukawa unaniletea options za UK, kuja kuhamaki namuona Dem wangu niliyekuwa na mpango wa kumuoa yupo tinder.

Nimeumia sana wakuu, kichwa imewaka moto. Hapa moja haikai mbili haikai, siku imeharibika hata sielewi nifanyeje.

Hapa Ninaenda kwa mangi kuagiza kreti Zima. Kabla akili hazijawa sio Zangu na sijafanya maamuzi magumu, naombeni mnishauri nifanye nini wakuu.
Pole
 
Back
Top Bottom