Maneno "jaffari haniu" yalipaswa yaanze kwa herufi kubwaMkuu wala usiwaze,unapaswa kukosoa pale unapoona hapako sawa.
Lakini makosa haya yapo kabla ya zuhura, nadhani ni kama hakuna anayejali. Wakati wa jaffari haniu ndio makosa yalikua mengi hadi basi, majina ya wateuliwa yanarudiwa rudiwa mara mbili, baadhi ya sehemu zinasahaulika n.k