Nimegundua leo wife yuko JF

Nimegundua leo wife yuko JF

Ha ha ha ...Mimi nikiwa home nasomaga kama guest...Afu ananambia nimsimulie akiona nacheka...Angejua na mimi huwa nachangia...Nachojua for sure hawezi na hataweza kuwa member JF...Hana hiyo hobby (na kazi yake haimpi huo uhuru)

Usiusemee moyo....
mimi nilikua hospitali moja hivi ni very busy
foleni nje nimeacha kama watu 20 kumuona dokta kumbe dokta yupo JF ame log in
yaani na ubize wote ule anachangia JF kama kawa
 
Sioni sababu ya kufichana ID ,wala sioni sababu ya uhuru kupungua!jimwage jiachie na wala usiogope!vya JF ni JF labda umepata wazo ambalo ni zuri waweza kazi!lifanyia !Labda kama una agenda ya ziada ya kutafuta wa kutaruchana nae
 
mi mwenyewe mbona tunajuana mpaka Id na password!
 
na huko badoo kashinda awards za ku chat za kila mwezi kama tano
na hapa JF anashinda love connect.....na kuweka matangazo ha haaa

Nikimkuta badoo The Boss itafuata talaka tu,bora humu,kule badoo kunanuka ngono balaa.
 
mtoa mada umeamua kufurahisha genge. Huu ni uongo wa hali ya juu.

Eti ameenda sabato aseee
 
kama ni kweli mkeo yumo humu mpaka hapa si ameshajua ni wewe........ kama kweli ungekaa kimya wala usingesema maadam Angekua haijui ID yako. SIAMINI.
 
Humu kuna watu kibao tu huwa wanatukanana na wake zao, wachumba, wazazi etc.
 
Haijui na sijui kama anafahamu niko humu.

asikukoseshe mautam ya jf badilisha ID fasta maana najua alishaku pm au kutumia mdada mwingine aku pm

afu kuwa mjanja siku mtu aki pm hakikisha usimpe no yako kabla hajakupa no yake coz wengi akiri fyatu wanakimbilia wasap
 
mtoa mada umeamua kufurahisha genge. Huu ni uongo wa hali ya juu.

Eti ameenda sabato aseee

We unajua sabato inaanza muda gani na post nimeiweka muda upi,sio kila mada ni ya kufurahisha genge au uongo take that.
 
Mbona hampishani sana ID yake ni ''MARA ONE''ww unawakilsha wilaya na yy anawakilisha mkoa hapo sasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom