Nimegundua leo wife yuko JF

Nimegundua leo wife yuko JF

Bora wewe unagundua kwa style hiyo. Mwenzako nilikuwa na kadili ka bodaboda ka kunipa senti za kilimanjaro ila wife alikuwa hajui sasa kuna siku dereva kaleta hela home mie sikuwepo kamkabidhi wife akaulizwa maswali naye kabwabwaja kila kitu pale, mie narudi jioni nawekwa kitimoto pale wife ananiambia nimeanza kufuata ushauri wa jf wa kumficha yeye baadhi ya mambo yanayohusu pesa akanipiga mkwara mzito na yeye ataanza kufuata ushauri wa lara1 hapo nikajua nayeye ni mdau wa jukwaa hili ila ID siijui..

afanye yote lakini akitaka kufanya kama anavyopanga (kufuata ushauri wa....), mke huna tena
 
Bora wewe unagundua kwa style hiyo. Mwenzako nilikuwa na kadili ka bodaboda ka kunipa senti za kilimanjaro ila wife alikuwa hajui sasa kuna siku dereva kaleta hela home mie sikuwepo kamkabidhi wife akaulizwa maswali naye kabwabwaja kila kitu pale, mie narudi jioni nawekwa kitimoto pale wife ananiambia nimeanza kufuata ushauri wa jf wa kumficha yeye baadhi ya mambo yanayohusu pesa akanipiga mkwara mzito na yeye ataanza kufuata ushauri wa lara1 hapo nikajua nayeye ni mdau wa jukwaa hili ila ID siijui..

Angekuwa mwandani wangu kitendo cha kutaja tu hilo jina angepewa fasta transfer ya kuhamia guest-room!!!!!
 
Ha ha ha ...Mimi nikiwa home nasomaga kama guest...Afu ananambia nimsimulie akiona nacheka...Angejua na mimi huwa nachangia...Nachojua for sure hawezi na hataweza kuwa member JF...Hana hiyo hobby (na kazi yake haimpi huo uhuru)
 
utapogundua mkeo yupo Badoo uje tena hapa

na huko badoo kashinda awards za ku chat za kila mwezi kama tano
na hapa JF anashinda love connect.....na kuweka matangazo ha haaa
 
Shem mbona yupo JF kitaaaaambo alinizuia nisiseme ha haaa haaaa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom