Nimegundua leo wife yuko JF

Nimegundua leo wife yuko JF

Bora wewe unagundua kwa style hiyo. Mwenzako nilikuwa na kadili ka bodaboda ka kunipa senti za kilimanjaro ila wife alikuwa hajui sasa kuna siku dereva kaleta hela home mie sikuwepo kamkabidhi wife akaulizwa maswali naye kabwabwaja kila kitu pale,

Mie narudi jioni nawekwa kitimoto pale wife ananiambia nimeanza kufuata ushauri wa jf wa kumficha yeye baadhi ya mambo yanayohusu pesa akanipiga mkwara mzito na yeye ataanza kufuata ushauri wa lara1 hapo nikajua nayeye ni mdau wa jukwaa hili ila ID siijui..

Hehehehe mzee utaanza kulipa papuchi walah
 
Wajameni leo nimegundua my wife yuko humu Jamii Forums tena anapenda hiki kitengo cha MMU. Sasa nitakosa uhuru wa kuchangia.

Sijajua how long yuko humu but nimeshtuka sana,najaribu kujua ID anayotumia na kila nikimuuliza anacheka tu, hii balaa inabidi niwe mpole.

Nasikia kawahi kuku PM kana kwamba we ndo mchepuko wake kumbe mme wake bado hamjakutana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom