Nimegundua leo wife yuko JF

Nimegundua leo wife yuko JF

Sasa hujui I.d yake umejuaje yupo huku au umehisi?
 
Ulikuwa unatoa ushauri gani?!baada ya kugundua iloo?!
 
Ha ha ha ...Mimi nikiwa home nasomaga kama guest...Afu ananambia nimsimulie akiona nacheka...Angejua na mimi huwa nachangia...Nachojua for sure hawezi na hataweza kuwa member JF...Hana hiyo hobby (na kazi yake haimpi huo uhuru)
Mbona nimejaa tele mie huwa nakusale tu
 
Bora wewe unagundua kwa style hiyo. Mwenzako nilikuwa na kadili ka bodaboda ka kunipa senti za kilimanjaro ila wife alikuwa hajui sasa kuna siku dereva kaleta hela home mie sikuwepo kamkabidhi wife akaulizwa maswali naye kabwabwaja kila kitu pale,

Mie narudi jioni nawekwa kitimoto pale wife ananiambia nimeanza kufuata ushauri wa jf wa kumficha yeye baadhi ya mambo yanayohusu pesa akanipiga mkwara mzito na yeye ataanza kufuata ushauri wa lara1 hapo nikajua nayeye ni mdau wa jukwaa hili ila ID siijui..

Lol.....
 
Wajameni leo nimegundua my wife yuko humu Jamii Forums tena anapenda hiki kitengo cha MMU. Sasa nitakosa uhuru wa kuchangia.

Sijajua how long yuko humu but nimeshtuka sana,najaribu kujua ID anayotumia na kila nikimuuliza anacheka tu, hii balaa inabidi niwe mpole.

Mtafute bana alafu muende PM
 
Kitendo cha kuonesha interest keshajua umo. Na believe me, atajua ID yako kabla we hujajua yake. Labda km ww ni mchepukaji

Ahh keshajua yake maana unasema alimuuliza akaishia kucheka tu!
 
Sioni sababu ya kufichana ID ,wala sioni sababu ya uhuru kupungua!jimwage jiachie na wala usiogope!vya JF ni JF labda umepata wazo ambalo ni zuri waweza kazi!lifanyia !Labda kama una agenda ya ziada ya kutafuta wa kutaruchana nae
Wee...!!
Yaani asome comments zangu ambazo huwa naandika yale mawazo yangu ya sirini kabisa??
Kwanza hataamini ni mimi na akiamini itaharibu amani.
 
Sio hawa,angekua lara1 ningekua nimeishamkata miguu siku nyingi.

Alaa...! Kwa post za humu tayari unaamini kua Lara hawezi kuwa mke bora?
Jidanganye, hapa wengi ni maigizo tu,
Wanaleta fasihi andishi na kujivika uhusika tu.
 
Mbona yeye anajua toka zamani tu kuwa ww ni member MMU
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom