Nimegundua leo wife yuko JF

Nimegundua leo wife yuko JF

Atakuwa Lara1 huyo,..kama siyo bac miss chaga,..au miss nedy kwa mbaali.Niombe radhi kwa niliowataja najaribu kuwapa hadhi ya juu hapa JF.

Sio hawa,angekua lara1 ningekua nimeishamkata miguu siku nyingi.
 
Bora we uliejua mapema mkuu..kuna mtu kawahi kumtongeza mke wake humu
 
Wewe chepuka uende jukwaa la siasa kwa muda, usije hapa mpaka ugundue tena kama ameondoka, na sijui itakuwa lini hiyo kwa sababu starehe ya MMU haisemeki, atakuwa keshanogewa.
 
Binafs sioni shida yeyote kwasababu michepuko kwangu mwiko,kama nawewe upo kama mm usijali,changia kwa utashi wako tu,
 
Watu bwana...sasa unamficha mume/mke wako ID ya jf kisa nini. Au una michepuko humu? Watu tupo na wake zetu tunaenjoy na kusoma habari mbalimbali za jf pamoja wewe unaficha? Una lako jambo..
 
Kitendo cha kuonesha interest keshajua umo. Na believe me, atajua ID yako kabla we hujajua yake. Labda km ww ni mchepukaji

wanawake kwenye mapenzi ni zaidi ya CIA..
 
Nadhan hamna shida yoyote ile mwache na yy apate Uhuru wa mtandao ila cha kuwashauli kua muutumie vizur juu mtandao.................
 
Mke wangu yupo jf anaifaham ID yangu pamoja na password kabisa. Ila nikitaka kuingia dark natumia ID ya pili ambayo haijui na hata kaa aijue.
 
Bora wewe unagundua kwa style hiyo. Mwenzako nilikuwa na kadili ka bodaboda ka kunipa senti za kilimanjaro ila wife alikuwa hajui sasa kuna siku dereva kaleta hela home mie sikuwepo kamkabidhi wife akaulizwa maswali naye kabwabwaja kila kitu pale,

Mie narudi jioni nawekwa kitimoto pale wife ananiambia nimeanza kufuata ushauri wa jf wa kumficha yeye baadhi ya mambo yanayohusu pesa akanipiga mkwara mzito na yeye ataanza kufuata ushauri wa lara1 hapo nikajua nayeye ni mdau wa jukwaa hili ila ID siijui..

Daah..yaan umenifanya nicheke sana..et akaanza kufuata ushauri wa lar 1..nipo sana wewe endelea..uliko amkia mim nimelalia....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom