snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,338
ish!hahahahahahaha
hakuna kulala.
sa sa we ulijua ntalala!
ehehehheh yani hakyamama mpka zombie ahitimishe hii kazi!
eboh!
mi naumwa vidoel bure hapa!
ish!hahahahahahaha
hakuna kulala.
Kumbe kweli kuna mastaz za umbea havard?
Wee ndio lekchara wao?
Sio kifua wazo cha zombie tu, na cha kwake kitokee kwenye picha. I mean picha kama zile za kwenye senema.
unatembelea nyota yangu sana weweWatching patiently!
Haya kaka...
ahahahahhahahah kwani unabakika?
Watu wamenichekesha, ila wewe umanimaliza, nimecheka kwa loud speaker, khah!
snowhite embu ni-tes uone kama na bakika .....!:love:
amazing...
kwa mwaka 2013 thiiiiis was and still is my best sredi hakyamama nilicheka humu.
Kongosho hv ulishaletaga picha ya zombie akiwa kifua wazi kama kwenye senema za telemundo telemundo
uhuhhuhuhuh
waaapi
King'asti
Nicas Mtei
Dark City
Kaizer
watu8
BADILI TABIA
Ruttashobolwa
aseeeh mkuje huku tujikumbushe enzi na thz tym around konnie atyupe update
enh ndiwoooooooh
#teamzombie
pole mwayego!Ngoja nowahi foleni, afu nshamuambia paw nataka tuhamie posta kuishi bush sip kabisaa.
Ila kwa tetesi tu------ Kongosho ndo kageuzwa zombie na zombie. Ila una kiranga mwanakwetu, khaaa