How? Nimwekee kilevi kwenye kinywaji?
ehehehhhehehhehehhehehehheh sa si ujibakishe tu na wewe!
mbake bana!
Nina uso wa mbuzi ujue?
hakyamama itabidi uache hiz bhangi zetu ili uwe kilady lady!
full kubana sauti na dinner za candle light!
tatizo zombie nae anajua sana unataka
anasubirije kuchukua pwenti zote tatu!
ahahahahahahhahhahaha LAZIMA UKAE!
Vipi kale kapori umekaondoa isije ikawa zombie ametafuta way amekosa zaidi ya kukwanguliwa na majani yenye miiba
Saa angefikia hatua hiyo si ningemweleza? Yeye bado anaongea tu utadhani ananitongoza kumbe mie nimeshakubali siku nyiingi. Au nimtumie meseji kuwa 'nimekukubalia ombi lako?'
Ila nataka akigundua nimekubali iwe laive ili niweze kumsoma usoni kama nimevuna au nimevunwa.
Umejuaje? Wee mchawi nini?
Huu ni mwendelezo wa zombie.
Sasa mie nina aibu sana, siwezi kusema ndio nimekubali, sasa na zombie anasubiri BIG YES kitu ambacho hawezi kukisikia kutoka kwangu. Nasubiri aniangusage tu si ni sambi zake mwenyewe, mie nimeshakubali lakini haelewi.
Sasa nijianguse tu? Au zombie kanigeuza zombie?
Kuna mshakunaku snowhite atalibebea bangoooooo