Nimegeuka Zombie

Nimegeuka Zombie

He he he, hapa napoishi nina kundi ujue, sasa hatuwezi jifungia wakati hapo nje kuwa shangazi, bibi sijui kitukuu. Mara kuna mtoto wa binamu aliyefeli Umitashumita kaja kurudia.

Na mpango niwasafirishe afu nimwalike, he will cry his lungs out.

sa si uende kwake af ikifika saa kumi na mbili unaweka series za kikorea!
nikuletee moja!
sema banaaa!
 
Ha ha ha... sio akae snowhite bali lazima APAKATWE!!:smile-big:

ahahahhahahhaha speaking of kupakatwa]
jamani enhee nani ana ile picha ya SIMBA KAPAKATWA? watu8 na Nicas Mtei puleeez fanyeni kuniftia hiyo picha!
jamani na yeyote tu!mnikuzie iwe kuubwa !
ntatoa hata hela jamani!please!
mwe!
zombiiiiiiiiie!ehehehheh nakupendaje sasa!
 
Last edited by a moderator:
I wish unijue, hata nikienda kwake najidai yaani sitaki kabisa. Itabidi nijifunze ku-take things easy.

Au ninywe wine kabisa?

sa si uende kwake af ikifika saa kumi na mbili unaweka series za kikorea!
nikuletee moja!
sema banaaa!
 
I wish unijue, hata nikienda kwake najidai yaani sitaki kabisa. Itabidi nijifunze ku-take things easy.

Au ninywe wine kabisa?
yu can not eat your cake and still have it in ur fridge ma!
sasa we shida yako ni kutaka kuhold ur pride!
TOO LATE mpenzi wangu!TOO LATE!
legea tu!on ur bended knees ,yako yakunyokee!
kwani nini bana!
HATA MAREFA WANA TEAM ZAO!
 
ahahahhahahhahaha hapa hapa ndo pazuri banaaa!
PM nani atajua kuwa mekupa zawadi nzuri!
sa kwani hutaki watu wajue na wenyewe wawe motivated?

haaa mwalimu snowhite unaifahamu 'overcrowding effect" na "tragedy of the commons"? Ndo siitaki iyo makitu apa sasa
 
Last edited by a moderator:
Huu ni mwendelezo wa zombie.

Sasa mie nina aibu sana, siwezi kusema ndio nimekubali, sasa na zombie anasubiri BIG YES kitu ambacho hawezi kukisikia kutoka kwangu. Nasubiri aniangusage tu si ni sambi zake mwenyewe, mie nimeshakubali lakini haelewi.

Sasa nijianguse tu? Au zombie kanigeuza zombie?

Kuna mshakunaku snowhite atalibebea bangoooooo

hahhahahahahahahaha
team zombie..,...,
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom