Nimegeuka Zombie

Nimegeuka Zombie

haaa haa i hope zombie alifanikiwa kufumania nyavu....lol!!!
 
Mtani umenikurupua huko niakjiuliza kuna mrejesho wa zombiii ama?

Btw hapa Konnie alipanikwa pande zote, mtoto wa kike kwa zombie hasikii haambiwi...

Na lile jicho la kungumanga basi ndio zombii akawa azidisha mahabat tu teh teh...

kwa mwaka 2013 thiiiiis was and still is my best sredi hakyamama nilicheka humu.
Kongosho hv ulishaletaga picha ya zombie akiwa kifua wazi kama kwenye senema za telemundo telemundo
uhuhhuhuhuh
waaapi
watu8
aseeeh mkuje huku tujikumbushe enzi na thz tym around konnie atyupe update
enh ndiwoooooooh
#teamzombie
 
snowhite.....luk vere mwalimu, ujue mwanafunzi wako karibia nagradweti?
 
Last edited by a moderator:
:flame::flame::flame:, he he he he, ntakufuata PM, maana snowhite mmbea:A S-eek: sana.

Nimeongoka bana, sauli kawa Paulo😛eep:

Huyo Kongosho kashamalizika kabisa.....kwani huoni alivyokuwa butu kama panga la mvivu?

But sometimes, ni vizuri kuongoka...lol!!

Hata King'asti mwenyewe kawa diluted...!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom