Nimefungua Blog, napataje Matangazo?

Nimefungua Blog, napataje Matangazo?

Mechanics

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
295
Reaction score
26
habari wakuu nimefungua blog sasa naomba mnielekeze jinsi ya kupata matangazo ya google.
 
Mjomba kwanza hakaikisha unaandika post original za kingereza takribani 20 zenye ujazo usiopungua maneno mia nane. kisha design blog yako fresh ili ijulikane na google. Nakushauri uendeshe blog yako kwa angalau miezi mitatu ndo uapply https://www.google.com/adsense Pia kuna makampuni mengine mengi ambayo yanaweza weka matangazo kwenye blog yako tena hayana masharti magumu kama ya google ukihitaji utasoma hapa Nazani nimesomeka. Like basi kama nimesomeka
 
mjomba kwanza hakaikisha unaandika post original za kingereza takribani 20 zenye ujazo usiopungua maneno mia nane. Kisha design blog yako fresh ili ijulikane na google. Nakushauri uendeshe blog yako kwa angalau miezi mitatu ndo uapply https://www.google.com/adsense pia kuna makampuni mengine mengi ambayo yanaweza weka matangazo kwenye blog yako tena hayana masharti magumu kama ya google ukihitaji utasoma hapa nazani nimesomeka. Like basi kama nimesomeka
pa moja mkuu
 
Mjomba kwanza hakaikisha unaandika post original za kingereza takribani 20 zenye ujazo usiopungua maneno mia nane. kisha design blog yako fresh ili ijulikane na google. Nakushauri uendeshe blog yako kwa angalau miezi mitatu ndo uapply https://www.google.com/adsense Pia kuna makampuni mengine mengi ambayo yanaweza weka matangazo kwenye blog yako tena hayana masharti magumu kama ya google ukihitaji utasoma hapa Nazani nimesomeka. Like basi kama nimesomeka
mkuu kama glog imekamilika na haijafikisha hiyo miezi mitatu nikomba adisense kuna tatizo
 
Hakuna tatizo kama contents zako zitafanikiwa kuwa indexed kwenye search engines mapema. Pia wasipo ridhika na blog yako huwa wanakupa muda wa kurekebisha watakachokushauri then uta resubmit application yako muda wowote. Ila ukiwa na gugo adshenzi kwenye blog inayotazamwa na watu mia kwa siku kupata 150,000 itakuchukua miezi 10 hadi 12 he he he he he he.
 
Huwez omba ads kama huna viewers
kwa google hata kama una watazamaji watatu kwa siku utakubaliwa endapo post zako zimekuwa indexed by google crawler yani mtu akisearch neno ugali kama wewe uliandika mada ya ugali inabidi blog yako nayo iwepo kwenye list ya searches
 
Back
Top Bottom