True Man11
Member
- Oct 14, 2022
- 95
- 139
Habari za majukumu,
nimefungua salon mpya ya kisasa ya kike ambayo nalenga kutoa huduma zote za urembo wa kike kama vile,
kusuka
make-up
facial
Kupaka rangi
kuosha miguu
na nyinginezo nyingii
salon ipo kimara suka - dar es salaam,
kama wewe ni mjuzi wa hizo huduma au unafahamiana na mtu yoyote hata akiwa nje ya mkoa pia nitapokea, hata kama hutaki kuajiriwa una wateja wako utataka kutumia officen kwangu ili ufanye kazi zako pia utaruhusiwa.
naomba tuwasiliane moja kwa moja whatsApp 0658 644 485