Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Status
Not open for further replies.
sasa wewe kwa uelewa wako unafikiri ameandika hadithi ya kukamatwa kwa watoto wa kike na polisi na yeye akaamua kuja dar? au neno la mwisho ndo tatizo kwako, bora wenzako wakiokiri kutomfahamu alichoandika kuliko kuita vya hovyo
 
Mkuu kama ww umemuelewa naomba utusaidie na ss kuelewa
 
Unauliza kwa mini nailaumu serikali au CCM? Kwa sababu this is not an isolated incident. There are a million incidents like this,mambo mengi ya dharau yanayofanywa na polisi.. Hata posting kipindi Kama hilikatika uchaguzi uliopita utaona kwamba zilikuwa decidedly against CCM. Kuhusu nani amenifukuza,this is very ugly. Lakini matatizo inaelekea yanasababishwa na uchu wa hela ambao unasababisha watu wanafanya mambo very shameful. Hili uelewe ni dharau kiasi gani,hao walinzi wanagawana hela za watalii wanaofika hapa. Yaani scoop yote ya watalii wanaofika kutazama kaburi la Mzee wetu mpendwa Mwalimu Nyerere,sipati hata senti tano. It is shameful beyond words. It is shameful beyond words. It is shameful beyond words.
 
Kuna mbakaji mmoja Prof. Kapuya yuko Uraiani. Dawa yake ni kumtoa Korodani make Polisi wamemuogopa!
 
Unauliza kwa mini nailaumu serikali au CCM? Kwa sababu this is not an isolated incident. There are a million incidents like this,mambo mengi ya dharau yanayofanywa na polisi.. Hata posting kipindi Kama hilikatika uchaguzi uliopita utaona kwamba zilikuwa decidedly against CCM. Kuhusu nani amenifukuza,this is very ugly. Lakini matatizo inaelekea yanasababishwa na uchu wa hela ambao unasababisha watu wanafanya mambo very shameful. Hili uelewe ni dharau kiasi gani,hao walinzi wanagawana hela za watalii wanaofika hapa. Yaani scoop yote ya watalii wanaofika kutazama kaburi la Mzee wetu mpendwa Mwalimu Nyerere,sipati hata senti tano. It is shameful beyond words. It is shameful beyond words. It is shameful beyond words.

Mkuu Andrew Nyerere kwani huyu anayemchombeza Lowassa ndo wewe?

images (4).jpg
 
Last edited by a moderator:
Unauliza kwa mini nailaumu serikali au CCM? Kwa sababu this is not an isolated incident. There are a million incidents like this,mambo mengi ya dharau yanayofanywa na polisi.. Hata posting kipindi Kama hilikatika uchaguzi uliopita utaona kwamba zilikuwa decidedly against CCM. Kuhusu nani amenifukuza,this is very ugly. Lakini matatizo inaelekea yanasababishwa na uchu wa hela ambao unasababisha watu wanafanya mambo very shameful. Hili uelewe ni dharau kiasi gani,hao walinzi wanagawana hela za watalii wanaofika hapa. Yaani scoop yote ya watalii wanaofika kutazama kaburi la Mzee wetu mpendwa Mwalimu Nyerere,sipati hata senti tano. It is shameful beyond words. It is shameful beyond words. It is shameful beyond words.
Andrew Nyerere

icon1.png
Re: Mgombea urais wa CCM ni batili

Nilivyosema ni kwamba hizi habari zimenifikia four days ago. Kwamba kule Dodoma Kamati ya Usalama iliwachagua Augustine Mahiga,Augustine Ramadhani,Asha Rose,Mizengo Pinda na Makongoro wakapigiwe kura na Mkutano Mkuu. Halafu Mwenyekiti wa CCM,akayapuuzia yale majina. Akabakiza jina moja tu la Asha Rose,labda kwa vile huyu ni Waziri wa Sheria,kumuondoa ingekuwa very tricky. Jakaya Kikwete akaja na listi mpya. Kama hivi ndivyo ilivyotokea Dodoma,kwa nini hizi habari tunazipata barabarani,kwa nini haziandikwi katika gazeti? Kwa hiyo Mwenyekiti amefanya udikteta ambao ni fantastic,kuwapuuzia washauri ambao amewachagua mwenyewe,handpicked by him,Katiba ya aina gani,mahali popote duniani inaweza kuruhusu jambo kama hili,kwamba kiongozi afanye kazi bila ushauri?

Nimechoka. Watu wanasema hawaelewi. Labda sasa niandike jambo ambalo halieleweki. When Brahma goes to sleep,1.the universe is dissolved. earth becomes water,water becomes fire,fire becomes wind,wind becomes space. Space is swallowed by Brahma's mind. Reason swallows the mind.Ishwara takes charge.Reason does a very difficult. Reason dismantles itself.Reason dissolves itselfthe subconcious mind remains. Time swallows the subconscious mind. Energy swallows time. Time swallows energy. Then Ishwara with the help of vidya takes over. Au yoga version. The mind swallows the anahata shabda,the mind swallows the microwaves,consciousness swallows the mind. The soul swallows consciousness. The universe swallows the soul. The Creation swallows the universe.
..
 
Mkuu bora ungeandika Kimakonde kuliko hiki KIZANAKI, sijui kama kitaeleweka!
 
nimechoka. Watu wanasema hawaelewi. Labda sasa niandike jambo ambalo halieleweki. When brahma goes to sleep,1.the universe is dissolved. Earth becomes water,water becomes fire,fire becomes wind,wind becomes space. Space is swallowed by brahma's mind. Reason swallows the mind.ishwara takes charge.reason does a very difficult. Reason dismantles itself.reason dissolves itselfthe subconcious mind remains. Time swallows the subconscious mind. Energy swallows time. Time swallows energy. Then ishwara with the help of vidya takes over. Au yoga version. The mind swallows the anahata shabda,the mind swallows the microwaves,consciousness swallows the mind. The soul swallows consciousness. The universe swallows the soul. The creation swallows the universe.
..

weweeee!!! Nimekuelewa mimi tu hapa.
 
Maneno yako manne ya mwisho yamenikosha sana.

Ndo mihemko nayoiongelea. Umeelwa maneno manne ya mwisho mengine hayakuhusu. Huyu jamaa anajaribu kuwa rhetorical lakini sioni hoja yake ni nini hasa? Maana kuna vitu anaviongelea kama kama kufanya implication ya kwamba watu wanaotafuta uongozi wankuja kutembelea kaburi la mwalimu lakini wanofaidiaka na huo ujio ni watu fulani fulani inawezekana ni baadhi ya wanafamilia. Ila mpaka hapo simwelewi meseji gani anataka kuifikisha across.
 
Sasa nnaamini kuwa una matatizo makubwa sana.

Utaitaje vitoto vya kike uvipe chakula? Si ungewaambia waende kwa wahudumu wa kike? Usinambie kuwa wale ma nun wa kanisa katoliki waliowekwa hapo kuhudumia wameondolewa na kanisa katoliki.
 
Nimechoka. Watu wanasema hawaelewi. Labda sasa niandike jambo ambalo halieleweki. When Brahma goes to sleep,1.the universe is dissolved. earth becomes water,water becomes fire,fire becomes wind,wind becomes space. Space is swallowed by Brahma's mind. Reason swallows the mind.Ishwara takes charge.Reason does a very difficult. Reason dismantles itself.Reason dissolves itselfthe subconcious mind remains. Time swallows the subconscious mind. Energy swallows time. Time swallows energy. Then Ishwara with the help of vidya takes over. Au yoga version. The mind swallows the anahata shabda,the mind swallows the microwaves,consciousness swallows the mind. The soul swallows consciousness. The universe swallows the soul. The Creation swallows the universe.
..

Haki ya MUNGU kama kunawatu watakuelewa hapa basi hawatazidi wawili offcourse mmojawapo ni mie. ha ha ha ha
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom