Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Status
Not open for further replies.
Wameingia walinzi ndani ya nyumba wanasema wameona watoto wanaenda kwa Andrew.wanataka waende kuwakamata. Wale watumishi badala ya kusema mmewaona watoto wanaenda kwa Andrew,so what? Wale watumishi wameandana na walinzi kuja kunikamata .Basi,mimi nimeondoka. It is illegal kwa watumishi kunifukuza. But that is what has happened. Wataamka asubuhi and they will laugh about it,but it is illegal. Kwa ninsi ninavyozifahamu sheria za jeshi ambazo nimesema zipo kidogo sana,20 au 30,what they have is treason,high treason.
 
Naishi peke yangu ndani ya nyumba,me,just one person. Kwa hiyo hakuna utata,hakuna confusion kuhusu mlinzi anapotumwa kuja pale kulinda. Kazi take anakuja kunilinda mimi. Sasa ni kazi gani hiyo waliyokuwa wanafanya walinzi ya kuwaokoa watoto nisiwape chakula. Nilikuwa nimeshika sahani wakatokea wale walinzi,wakasema hawa watoto wanatafutwa na wazazi wao. Tumetoka nje nimekuta wazazi hawapo. Basi huyu mlinzi anatafuta fimbo ya kuwachapa watoto. Mimi nikasema I must go to report this. Halafu nikasema,hapana,nitasubiri hapa nikuone unampiga mtoto. Nataka kujua nimwambie mini Chikawe. Kwa hiyo utaona kwamba hakuna jeshi pale,wale watu ni wahuni. Wanajeshi sheria zao kidogo sana. Ukishaona mwanajeshi unamtaja afande wake,hiyo mwanajeshi anapiga miayo,basi ujue huyo siyo mwanajeshi. Hiyo ni jambazi sugu.

Andrew hao Askari wametumia Busara wameshindwa tu kukukamata, Watoto wa Kike wanakuja kwako ukiwa peke yako Usiku ulitaka kufanya nao nini?
 
Wamewaingia walinzi ndani ya nyumba wanasema wameona watoto wanaenda kwa Andrew.wanataka waende kuwakamata. Wale watumishi badala ya kusema mmewaona watoto wanaenda kwa Andrew,so what? Wale watumishi wameandana na walinzi kuja kunikamata .Basi,mimi nimeondoka. It is illegal kwa watumishi kunifukuza. But that is what has happened. Wataamka asubuhi and they will laugh about it,but it is illegal. Kwa ninsi ninavyozifahamu sheria za jeshi ambazo nimesema zipo kidogo sana,20 au 30,what they have is treason,high treason.

Jisalimishe:what:
 
Jisalimishe:what:
Hivi nyie mliomuelewa mbona hamfanui anachoongea. Kwa tu hata upangiliaji wake haupo kifasihi sasa nashangaa watu wanaoita fasihi sijui wanongelea fasihi yaaina gani? Kwa rate ya vilaza wa humu jamii forums kila mmoja anajifanya kamuelewa kisa tu kuna keyword ya nenono linalowapa mihemko "Louwa...." teh teh
 
ama anakula sana ulabu,au kuna scrub ziko loose sehemu...
 
Mimi nimekata tiketi nakwenda Dar kesho. Butiama nimeshaondoka,nimeshafukuzwa. Sasa nipo guest house Musoma,asubuhi narudi Dar. Kuhusu kama litawadhuru CCM,mimi bado sijaongea na syndicate.
 
Huyo ndiyo Andrew Nyerere katika ubora wake. Karibu sana kamanda kwenye hii vita ya kumng'oa mkoloni mweusi
 
Dakika chache kabla ya Makamu wa Rais.Gharib Bilal kufika Mwitongo,wamefika wasichana watatu wa primary school kuniomba chakula. Nimechukua sahani niende kuwapakulia chakula,ghafla wamefika FFU,nadhani alikuwa FFU mmoja,amevaa bullet proof vest,kaondoka nao,kaenda kuwachapa viboko,watoto wananiambia wamechapwa fimbo kumi kila mmoja.Basi,na Miminimeondoka.nimenunua tiketi ya Dar. Kesho narudi Dar.Nimefukuzwa,nimeitwa mbakaji. Hapo mahali walikuwepo wageni wengi,lakini wamekuja hao polisi.ambao ndiyo wale wale waliotumwa kwenda Mwitongo mahsusi kwa kumlinda Andrew.Walikuwepo wageni,Makamu wa Rais,mawaziri kutoka Kenya,mawaziri kutoka Tanzania.Mawazo yangu kuhusu hili jambo.? Nataka Lowassa ashinde uchaguzi.

wajinga wengi dunian ukiwemo wewe,tena tunakuhakikishia kabla uchaguz haujapta utakuwa umekula miaka mia jera!
 
Mkuu Andrew Nyerere, naomba ufafanuzi kidogo

  1. Dakika chache kabla ya Makamu wa Rais.Gharib Bilal kufika Mwitongo,-Jee hatimaye alifika?
  2. wamefika wasichana watatu wa primary school kuniomba chakula. Ndio mara yao ya kwanza au ni kawaida yao?
  3. Nimechukua sahani niende kuwapakulia chakula- wewe ndio huwa unapakuliaga chakula wageni au ni hao wasichana tuu?
  4. ghafla wamefika FFU,-FFU wangapi?, walikuja ndani kufanya nini?, kikawaida huwa wanapiga hodi ila this time wamekuja ghafla?
  5. nadhani alikuwa FFU mmoja-unadhani?, yaani huna uhakika wamefika FFM au alikua mmoja?
  6. amevaa bullet proof vest-FFU haavai bullet proof vest bali anavaa zile shield!, labda kana ndani pia alivaa vest?
  7. kaondoka nao-alienda nao wapi?, pembeni, nje, sebuleni, wapi haswa?.
  8. kaenda kuwachapa viboko- FFU wa siku hizi sanatembea na viboko?, au walichuma fimbo hapo nje wakacharaza?.
  9. watoto wananiambia wamechapwa fimbo kumi kila mmoja-Baada ya bakora wakakurudishia, wasichana enyee akakurudia au wewe ndio uliwafuata?
  10. Basi,-basi nini?, basi ya kuchoka?, basi ya kutosha?, basi ya yameisha, au basi ya stop?, au basi la kuja Dar?
  11. na Mimi nimeondoka-kwa hasira, uliaga, ulisingiziwa mbakaji?.
  12. nimenunua tiketi ya Dar-
  13. Kesho narudi Dar
  14. Nimefukuzwa,-umefukuza na nani?, Mama Maria?, Madaraka?, Chale?, FFU?, hao polisi?.
  15. nimeitwa mbakaji-Pole!, kwani hawakujui?
  16. Hapo mahali walikuwepo wageni wengi-mahali gani tena?, sio hapo nyumbani?
  17. lakini wamekuja hao polisi, walikuwa api?, kumbe huwa wanaondoka na kurudi? na sio kubadilishana??.
  18. ambao ndiyo wale wale waliotumwa kwenda Mwitongo mahsusi kwa kumlinda Andrew-kumbe?.
  19. Walikuwepo wageni,
  20. Makamu wa Rais,-tory ilianza kabla hajafika kumbe alifika!.
  21. mawaziri kutoka Kenya,
  22. mawaziri kutoka Tanzania.
  23. Mawazo yangu kuhusu hili jambo.?-Jambo lipi, la kuingizia kubaka?
  24. Nataka Lowassa ashinde uchaguzi- what has this got to do with the story?, where is the linkage?
Pasco
 
huyu jamaa ni mshairi mzuri na ni wachache watamuelewa kwa ustadi wake huu wa kucheza na lugha
 
Msipate taabu na huyu mamluki,,kifupi anaponda kauli ya Lowassa juu ya kesi ya babu Seya bila kutathmini vizuri kauli ya EL..Hivi Andrew inaingiaje akilini baba na wanawe washirikiane katika kitendo cha ubakaji??hakika ni lazima uwe na maswali mengi kabla ya kufikia jibu sahihi.
 
Nimeondoka,nimefunga mizigo,yule polisi aliyewapiga watoto nimempa ufunguo,nimemwambia,wewe urudishe huyu ufunguo ndani. Mimi nakwenda Dar. Watoto wa shule ya msingi kuanzia sasa watakuwa salama. Hawa ni watoto wanakuja kila siku. Mlinzi amekuja kutoka kwenye geti. Kama alikuwa mmoja au wawili it does not matter. Walinzi wrote walishirikiana,pamoja na watumishi wa ndani walishiriki. Unauliza kwa nini nailaumu CCM for this.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom