Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Nimefukuzwa Butiama kwa ubakaji

Status
Not open for further replies.
Niandike kimakonde. Huyu anasema binadamu hawezi kukaa macho wakati wote. Ni lazima alale. Sasa,universe inalala. Universe ndiyo hizi nyota zote na sayari.universe ikilala,kila kitu kinatoweka. Yaani kila nyota na kila sayari inatoweka. Inapotoweka ndipo design mpya za watu na nyota zinafikiriwa. Halafu universe inaamka tena Kwamba ieleweke Mungu siyo mkubwa kabisa. Mungu siyo big boss. Nyuma yake Mungu ,juu yake Mungu ipo Creation,Maumbile.Mungu pia ameumbwa na Creation. Dini Kama haiitaji Creation,inawasaliti waumini wake.Dini inayosema yupo Mungu tu,hakuna kitu zaidi inawasaliti waumini wake. KITU,(IT),hiyo ndiyo inavyoitwa Creation. Creation,Maumbile,siyo mwananke siyo mwanaume. Ni Kitu ambacho ndicho chanzo cha kila kitu.
 
Kuhusu wewe unaosema watu wanakuja hapa kutazama kaburi kwa sababu za kisiasa,hiyo siyo kweli Watalii wengi wao siyo wanasiasa.
 
Mkuu kama kweli ulizaliwa ktk familia ya mwalimu, bas wewe ulipatikana nje

Nyerere hana mtoto asiyeweza kuandika sentensi ya kueleweka
 
Kwa uandishi huu mwandishi hakupata division 5 alipata division 0.
 
Mim nimeelewa anamaanisha nini! hata usipo elewa hutapungukiwa na kitu!
 
Inaeleweka. Kwa vile it is incredible ndiyo maana yanatokea matatizo. Ukienda Mwitongo,utaona jambo la ajabu sana. Utaona nyumba kubwa Sana inalindwa. Ndani anaishi mtu mmoja tu Andrew. Hao ndio walinzi wametoka katika geti,wamekuja ndani kunikamata.. Nieleze tena kinagaubaga. Watoto wanakuja kwangu,safe zimechanika,wengine wanatembea peku peku kwrda shule. Katika darasa moja watakuwepo at least

Sasa hayo ya ffu na watoto wa shule yana muingiliano gani na kauli yako ya mwisho?
 
Its abundantly clear this psycho is off his meds again. VIP ward at Mirembe should be his next stop.
 
Kila siku huwa najitahidi kuelewa anachoandika huyu jamaa.Nashindwa
Na wewe umeona eeh? Shida ana jina Nyerere. Mtu anasoma andiko hata mara 20 akihofu asije akawa hana akili ya kutosha kuelewa maneno ya mwana Nyerere. Kuuuuumbe hamna kitu. Jamaa sijui ana flight of ideas...
 
Andrew if you are not high on something basi pole kwa maswaibu yanayokupata.
 
Wenye IQ kubwa ndio wataelewa kama wewe shule ulizoea kusoma kwa kukuriri huwez elewa.point noted
 
Nimechoka. Watu wanasema hawaelewi. Labda sasa niandike jambo ambalo halieleweki. When Brahma goes to sleep,1.the universe is dissolved. earth becomes water,water becomes fire,fire becomes wind,wind becomes space. Space is swallowed by Brahma's mind. Reason swallows the mind.Ishwara takes charge.Reason does a very difficult. Reason dismantles itself.Reason dissolves itselfthe subconcious mind remains. Time swallows the subconscious mind. Energy swallows time. Time swallows energy. Then Ishwara with the help of vidya takes over. Au yoga version. The mind swallows the anahata shabda,the mind swallows the microwaves,consciousness swallows the mind. The soul swallows consciousness. The universe swallows the soul. The Creation swallows the universe.
..

Cc: Mshana Jr.
 
Last edited by a moderator:
Karibu UKAWA...hata mimi nataka Lowassa ashinde.
Nyie ambao hamuelewi mnataka mpaka avue nguo ndo muelewe kama anataka Lowassa ashinde!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom