Nimefiwa na mtoto jana muhimbili!

Pole sana kamanda mungu akuongezee kamanda mwingine jitahidi ule mboga za majani sana
 
Raha ya milele umpe eee bwana! na mwanga wa milele u mwangazie! Apumzike kwa amani! AMINA. Pole sana kiranja!
 
Poleni sana Spika na familia yako.
Inshallah Mwenyezi Mungu awape subira na awafanyie wepesi
 
Poleni sana familia nzima ya Spika. Yote ni mapenzi ya Mungu. Tunamuomba Mungu mwenyewe awape faraja katika kipindi hiki kigumu. Bwana Ametoa, Bwana Ametwaa, Jina la Bwana Lihimidiwe! Apumzike kwa Amani!
 
Back
Top Bottom