Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Nimefikia maamuzi, najitoa rasmi CCM

Muziki anaowapelekesha Magufuli hakika mtaomba pooooo. Hadi 2020 Ilani yote ya CCM itakuwa imetekelezwa. Tunaahidi na tunatenda
Uzuri au ubaya.umeme ukipanda wote tumo,maji yakipanda wote tumo,unga ukipanda wote tumo.kwa hiyo unajisumbua tu.alafu.naona mngerudisha mfumo wa chama kimoja
 
Hata Kafulila wakati anahama CHADEMA mwaka 2009 alikuwa na tambo nyingi. Leo huyooo karejea. By the way who are you? Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
Hakuna sharti lolote linalomtaka mwana-CCM kuthibitisha uhai wa uanachama wake kwa kuanzisha mijadala ya kuisupport CCM Jamii Forums. Muache mwenzio apumzike bila bugudha kama marais wa zamani.
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
OK hongera kwa kujiondoa huko.....Anza kwa kubadili signature.
 
Uzuri au ubaya.umeme ukipanda wote tumo,maji yakipanda wote tumo,unga ukipanda wote tumo.kwa hiyo unajisumbua tu.alafu.naona mngerudisha mfumo wa chama kimoja
Mnamtekelezea nani na tusivyowataka,kwanza hamkushinda mmetumia goli la mkono
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa i. ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa ii. ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane). iii. kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini iv. kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na v. elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena
kujitoa kwako ni sawa na kuchota ndoo moja baharini au kumvua dagaa mmoja z/victoria,,is there any -ve impact?
 
By the way who are you? (Kansigo?) Unaweza kunieleza ni mijadala gani umeanzisha humu kuisupport CCM?
Ngoja nijitolee nikusaidie kuweka thread alizoanzisha, cheki hizi hapa chini;
Lizaboni hata wewe siku utakapozinduka na kurudiwa akili utafungasha virago siku hiyo hiyo na kuikacha hilo genge la wanafiki, waongo, mafisadi na ving'ang'anizi madarakani huku uwezo hawana.
 
Wewe ulipojiunga na CCM ilikuwa sawa na kumchukua dagaa mmoja na kumpeleka baharini; was there any impact?
kujitoa kwako ni sawa na kuchota ndoo moja baharini au kumvua dagaa mmoja z/victoria,,is there any -ve impact?
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
Nakutakia mafanikio mema huko uendako.
 
nimemsikiliza komredi sendeka kwenye taharifa ya habari itv usiku huu alivyokuwa anasema!

Nikasema Mungu Awape hekima hawa viongozi wetu maana hekima ni njema sana ikiwa ndani ya mtu hasa viongozi wetu kuliko kutumia miguvu.
kasemaje
 
Nina sababu kadhaa kwanini naamua kujitoa CCM na kutoendelea kuisapoti serikali yake hii ya awamu ya tano.Nina sababu kadhaa;

i. Ubabe na vitisho vya viongozi kuanzia ofisi kuu hadi watendaji wa chini, wote wamekuwa wababe na wanataka waabudiwe na kudujudiwa

ii. Ukandamizaji wa demokrasia na uhuru wa kutoa maono ( ref kesi ya Melo, Lema na Ben saanane).

iii. Kuvurugwa kwa elimu kunakoendelea mf. kuwanyima mikopo ya elimu ya juu watoto wa kimaskini

iv. Kusitisha ajira kwa maelfu ya vijana wa kimaskini tofauti na kipindi cha JK! na

v. Elements za udini na ukanda-ukabila Sitaki kuisikia tena CCM, nilikuwa mpiganaji mkubwa. wa ccm! ila yanayoendelea kwa sasa sina hamu tena.
GO TO HELL
 
wacha tambo ccm haina mwanachama sampuli yako. kama kweli weka kadi namba tarehe na tawi
 
Back
Top Bottom