Nimefika Mathare- Nairobi Duh!

Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!

View attachment 217407

Come to think of it, i can see a railway line and no railway line passes through mathare
 
Huko kuna kitu inaitwa FLYING TOILETS! Unakuta mtu ananunua mfuko wa plastic utadhani anaenda kufungashia zana kumbe anatumia usiku kuhifadhi kitokacho baada ya kula asubuhi anatupa hapo nje kwake na hajali!
 
Niliwahi ambiwa Kenya ina watu wachache ndo wanameshikilia mema ya nchi, sasa naanza pata picha halisi.
hapo kuna watu wamejikatia tamaaa wakipata chance wanalianzisha

Ni kwamba,nusu ya ardhi yote ya kenya inamilikiwa na Rais Uhuru Kenyata na kwa sheria za Kenya kuhusu ardhi ni kwamba ardhi inamilikiwa na individual na sio public kama ilivyo Tanzania. Hapo unategemea nini kama nusu ya ardhi ya nchi nzima inamilikiwa na mtu mmoja?
 
Hiii ni kweli? Isijekuwa ni story za mtaani? mkuu
 
Ni kwamba,nusu ya ardhi yote ya kenya inamilikiwa na Rais Uhuru Kenyata na kwa sheria za Kenya kuhusu ardhi ni kwamba ardhi inamilikiwa na individual na sio public kama ilivyo Tanzania. Hapo unategemea nini kama nusu ya ardhi ya nchi nzima inamilikiwa na mtu mmoja?

Hizi uwongo za vijiweni peleka mbali.
 
Si unaona sasa jamaa wanasuasua kuchangia hii mada, manaake wanajua wazi kabisa huu ni ukweli mtupu.

Washtuliwe waje hapa...kuuwa soo wataanza kusema "ati nyie watz ni wa bongolala sana.......

Lakini watakutambia eti angalau wao wanazungumza kiingereza vizuri kuliko watanzania; ingawa ni wazi kabisa "wanakufa na tai shingoni". Hawa jamaa ni kituko!

Niliwahi ambiwa Kenya ina watu wachache ndo wanameshikilia mema ya nchi, sasa naanza pata picha halisi.
hapo kuna watu wamejikatia tamaaa wakipata chance wanalianzisha

Mbona watanzania mnapenda kujidanganya sana. Ukiona kitu kizuri kwenu, unafkiria hakuna chegine kama hich africa.......
Wa Tz mjifundishe kufanya reasearch kabla kufungua mdomo, Jueni maendeleo ya nchi za kiafrica ndo mjue mko nyuma kiasi gani, si kutegemea udaku na hear-say alafu wengine wenu mnafkiri watanzania wengi zaidi wako na afadhali, ilhali watanzania wako nyuma zaidi kwa umaskini kushinda Kenya. Ngoja ni wa funze Kuhusu nchi yenu, ukilinganisha na Kenya.....

Item by (2013)
Tanzania
Kenya
Population approx50 million45 million
% of people below poverty line (2013) 65% poor 42% poor
Dollar Millionnaires5,200 8,400
% of middle class (2011)12.1
44.9%
litaracy rates (2013)69.40%85.10
Life expectancy61.24 yrs63.52 yrs
People living with HIV (2012)1.472 million1.646 million
HIV/AIDS deaths per year (2012)80,00057,500
Kwahivyo, kwa ufupi, watanzania wengi zaidi ni maskini hohehahe, Na tanzania haina middle class wengi, either mtu ni tajiri zaidi, ama ni maskini mlala hoi, ilhali Kenya iko na raiya wengi zaidi ambao wanaeza jimudu kimaisha (middle class).

allAfrica.com: Tanzania: 65 Per Cent of Tanzanians Live Below Poverty Line
allAfrica.com: Kenya: Poverty Levels in Kenya Dropping - World Bank
East Africa’s growing middle class hits 29 million - News - www.theeastafrican.co.ke

Hata mutuonyeshe Mathare ngapi, bado haitageuza ukweli kwamba watanzania wengi zaidi ni maskini
 
% of middle class (2011)12.144.9%

Si vibaya kujifariji. Dunia nzima inajua hakuna masikini Kenya, kwa hiyo hauna haja ya kupapatika.
 
mbona Mathare ni kama kuzuri tu yaani hizo ni nyumba za national housing safiiiii
 
Aisee hapo mathare life expectancy yake ikoje, unaweza kufikisha 35 hapo. Mmmmmm
 
attachment.php

Hili eneo Ndugu MK254 analijua ?.
 
Last edited by a moderator:
Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!

View attachment 217407View attachment 217408View attachment 217409View attachment 217410View attachment 217411

Mathare mtaa wa Korongocho/korokocho ni dunia nyingine kabisa nilifanya kazi za kijamii huko kwa miezi mitatu
 
Lakini mbona nyinyi wabongo wengi mnaozururu Kenya huwa mnakiri tu kutembelea maeneo kama haya Nairobi

attachment.php

Ilhali huwa mnadinda kutembelea maeneo mengine kama haya?

6909216149_a7e02570a2_b.jpg

6909215817_c64ef5ef75_b.jpg

2494141_surb_jpegd8e524b763391d269ce62ea728a17666

2493989_surb1_jpegd3fc81d6a8846898049c3e2c3c87e5c6

2494006_surb2_jpege3a7b62577de681e87edd9b981259652

2519841_umoja2_jpegce2d015ff3dab424df2ef729ff0c5cf7

Tanzania kuna mambo kama haya....?
10932546_1670136053220101_213615248_n.jpg

11821149_125377481135875_1202919350_n.jpg

https://www.youtube.com/watch?v=K4LORsZe60Y

Nyinyi kila mara ati Kibera Kibea na hata mitaa za kisawa sawa hamni!

Wenzangu, tatizo pia ni moja hilo hata kuleAfrika Kusini!

r

images

images

Lakini nyinyi kila mkizuru Joburg, hamkiri hata kidogo kuzuru maeneo kama haya...nyinyi hujidai kuwa maeneo kama haya..nk

sandton_7f3a7d39fa03452086296747d2e642a3_650x544.jpg
 
Back
Top Bottom