Nimefika Mathare- Nairobi Duh!

waltham

waltham

JF-Expert Member
2,484
2,000
Nimefika Mathare Nairobi yaani niliyoyaona ni bora hata Kibera mara 100! Maisha yangu yote nilifikiri Slums nairobi ni Kibera tu kumbe kuna eneo lingine linaitwa Mathare, jaribu kutembelea hapo siku ukiwa Nairobi huwezi amini jinsi wanavyoishi, duh!View attachment 217407 View attachment 217408 View attachment 217409 View attachment 217410 View attachment 217411
[h=2]Dar es Salaam, Tanzania[/h]
A young man using pieces of wood as walking aids while crossing a current of rainwater, sewage and garbage in the district of Janguani during the flood event of April 12, 2014The impact of floods is still a threat in the memories of most residents of Dar es Salaam 
EP PRO

EP PRO

JF-Expert Member
7,573
2,000
Niliwahi ambiwa Kenya ina watu wachache ndo wanameshikilia mema ya nchi, sasa naanza pata picha halisi.
hapo kuna watu wamejikatia tamaaa wakipata chance wanalianzisha
 

Forum statistics


Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom