Nimefika Mathare- Nairobi Duh!

N

Nyarwadhnyarwath

JF-Expert Member
1,157
2,000
Subiri sasa matusi yao!
Usiombe kabisa kwa namna yoyote ujikute umekuwa mkenya. Ni balaa. Wanachojua ni kupayuka sana lakini maisha yao ni shidaaa.
 
N

Nyarwadhnyarwath

JF-Expert Member
1,157
2,000
A case of kettle calling pot black. Silly niggars!
Unamaanisha nini? Unataka kuwalinganisha watanzania na wshinda njaa wa Kenya? Acha kuwa mzembe wa kutumia kichwa chako. Kama huijui Tanzania uliza uambiwe.
 
Naby Keita

Naby Keita

JF-Expert Member
3,683
2,000
Kama maisha yenyewe ndio hayaaa bora nizamie niende ulayaaaa dah r.i.p john walker
 
Konda wa bodaboda

Konda wa bodaboda

JF-Expert Member
8,012
2,000
Sasa kama Kenya pako hivyo vipi nchini nyingine jirani?
 
darcity

darcity

JF-Expert Member
4,859
2,000
As you see that's a neighborhood with proper sanitation infrastructures, albeit no one maintains them. And worse enough it's a problem that's limited to a very tiny area, which is why the only picture you can find is a close up picture.Why don't you find a bird's eye picture of a mess like that one in Mathare?there is none. why?i am proving your lies below. Don't be scared now. I told you i hate lies.

This picture is not from Dar, Dar does not use that type of roofing for houses, anyone who has ever lived in dar, can easily tell that. I guess you are beyond desperate to prove things in Dar are as bad as they are in Nairobi, to the extent of faking photos from India.

This is where you got the photos from
INDIA: Terra Urban टेरा अर्बन | Urban Forum by Society for Participatory Research in Asia (PRIA)

Actual link from the Indian website:http://terraurban.files.wordpress.com/2012/12/3a10217b6db20ba4ee9afc19f948-grande.jpg?w=458

Not every story about "Slums" in Dar has pictures from Dar.

I repeat, what is going on in Mathare, should make you be ashamed of Kenya, same way am ashamed of those uncleaned street patches.

Difference is you don't care about anything that goes on in Mathare.Because' that's how you fellas are wired.

Mkuu ni kweli kabisa Dar haina style hiyo ya kupaua nyumba.Alafu amegoogle sehemu zenye uchafu (madampo ya muda/vizimba vya kukusanyia taka kama hii picha ya Mwembe Yanga hapa chini.As long as i know sisi tuna nyumba karibu tu hiki kizimba thamani yake inazidi milioni 160 za kitanzania(US dollar 76,500) sidhani kama slum zao zina cost hiyo hela.Isitoshe nyumba za maeneo hayo ni zaidi ya milioni 20 za tz

Hapa ni kizimba cha uchafu mwembe yanga sio slum.Hizo nyumba za mbele bila us dollar 75,000 hupati
 
ceteris1

ceteris1

Member
71
125

View attachment 381972
Hapa ni kizimba cha uchafu mwembe yanga sio slum.Hizo nyumba za mbele bila us dollar 75,000 hupati
Sasa unaringia kuuza nyumba au unaringa na huo uchafu hapo!?. Ungekuwa na akili na jamii yako mngetoa huo uchafu hapo angalau magonjwa yapungue na hygiene iongezeke kuwa poa.

Kitu kingine thamani ya ardhi ya Tz na kenya zinatofautiana kutokana na sababu nyingi tuu. Nyinyi kuuza ardhi kwa thamani hiyo ni kutokana na asili ya higher classes kumiliki sehemu kubwa so ni watu wachache wanao miliki ardhi hapo mjini na wengi wao wanapanga tuu nyumba. So mtu wa chini kupata ardhi nikama lulu vikee.

Nimepita sehemu Thika road nikaonyeshwa maeneo ambayo bado ni bikra kabisaaa makubwa kinomaa, wanao miliki pale nikaambiwa ni wenye nchi yao bwana. Sasa nawewe ukiwa na kijisehemu kiduchu hapo unajikuta wewe kama vile member of parliament.

Kupata ardhi kwenu huko sometimes unaunganisha wizii, ubabe, hadi kauchawi kidogo kuwa hibernate watu wasistuke.

Point ni kwamba hata kama hilo eneo ni expensive safisheni hapo na muache kujisifia na mauchafu .... nyangafuuuu
 
Mgboss

Mgboss

JF-Expert Member
498
500
[h=2]Dar es Salaam, Tanzania[/h]

A young man using pieces of wood as walking aids while crossing a current of rainwater, sewage and garbage in the district of Janguani during the flood event of April 12, 2014

The impact of floods is still a threat in the memories of most residents of Dar es Salaam

Pita dar Leo, utatamani kulala darajani,
 
mij

mij

JF-Expert Member
1,882
2,000
Lakini watakutambia eti angalau wao wanazungumza kiingereza vizuri kuliko watanzania; ingawa ni wazi kabisa "wanakufa na tai shingoni". Hawa jamaa ni kituko!
Sasa hicho kiingereza kinawapa chakula? Mpango mzima ni pesa kuliko kujua kiingereza halafu njaa kali.
 
goldie ink

goldie ink

JF-Expert Member
5,665
2,000
Kutokana na ugumu wa maisha nchini Kenya na wengi kuonekana walalahoi asilimia kubwa wakenya wamejiunga na freemasonry chunguzeni mtaona matokeo.
 
S

Sista Horn Kombe Masufuri

JF-Expert Member
453
250
I am very sure you had gone there looking for a job ,domestic worker to be precise
 
Forum statistics

Threads
1,424,934

Messages
35,076,363

Members
538,167
Top Bottom