Nimefika Mathare- Nairobi Duh!


prince mrisho com

prince mrisho com

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2015
Messages
1,974
Likes
1,165
Points
280
prince mrisho com

prince mrisho com

JF-Expert Member
Joined May 2, 2015
1,974 1,165 280
Acha ligi za kijinga wewe.....

Tofautisha uchafuz(wa mazingira) na umaskini....

Mleta mada ameeleza ni jinsi gani wananchi wa Mathare wanaishi katika maisha ya umaskini uliotopea ilhali nchi inajinasibu kuwa na uchuni wa juu katika EA....Watu wanaishi maisha duni mnooo.....Na kalidhihirisha hilo kwa picha...

Wewe unakuja na picha za mafuriko ya mvua...Mrundikano wa taataka (ambazo inawezekana zilitolewa mara tu baada ya wewe kupiga picha)....

Picha zako za Kariakoo zinaonesha ni jinsi gani Dar ilivyo ukilinganisha na Nai...

Kubali kataa....Kibera....Dandora...Mathare n.k ni ielelezo tosha kwamba uchumi wa Kenya umeshikwa na wachache na wananchi wengi wanaishi below poverty line....Katika umaskini uliotopea...

Ngoja nizirudie picha....Angalia na ulizoziweka wewe...


hazifunguki jaman
 
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined
Jul 19, 2017
Messages
2,534
Likes
1,776
Points
280
J

Joseph lebai

JF-Expert Member
Joined Jul 19, 2017
2,534 1,776 280
Hutaamini upo Kenya , nilienda Kibera ila Mathare sijafika . Ila sehemu za kitajiri ni zaidi ya Tz , tukawazidi na slam za kiuungwana . Unaweza ikafananisha Manzese na Kibera ?
 
Imano8

Imano8

Member
Joined
Nov 27, 2018
Messages
20
Likes
18
Points
5
Imano8

Imano8

Member
Joined Nov 27, 2018
20 18 5
Tukumbe kila nchi inapo piga hatua kiuchumi pia hali za watu wa chini zina zidi kuwa mbaya zaidi
 

Forum statistics

Threads 1,251,870
Members 481,917
Posts 29,788,371