Nimefedheheka sana siku ya jana

Hio ni kawaida hata mimi ishawahi nitokea nilimpataga mtoto mmoja mkare kweli dushe likawa halitaki kusimama kupiga mzigo kidogo tu wazungu hao..ila siku ingine ilikua poa kabisa
 
Hzi rangi umepaka lini Dada??Ulivaa sana high heels mpaka sikuziona.
Next tym niambie nikupeleke kwa yule jamaa etu naonaga anapaka huyooo

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilipaka siku ile kulikuwa na kikao cha familia kaka halafu nilivaa raba ndo maana hukuziona hahahahahah
Ngoja zikiisha nitakwambia unipeleke anipake vizuuri maana me siyo mzoefu
 
Next time usiwe na mawazo, hata hivyo maisha ni mazuri japo ni mafupi. Waweza kutana na mavituz kama Haya network ikakata
38697673_282322332554611_5656115777258913792_n.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu, hii kitu ni kawaida sana na hutokea mara kadhaa na husababishwa na ile hali ya kupania sana show, au hofu kutokana na kuwa demu ambaye unamuona ni mzuri saaaaaaaana....... Huna shida mkuu
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?

:D:D:D:D:D:D we mzee nakukubali kweli na post zako zenye muelekeo wa lile tatizo la nguvu za kiume.maana ni nyingi kweli.. ndiyo wewe uliyemwagaga nje kabla ya dushe kuingia kumbe.pole mkuu. uwage unapunguza munkari kwa demu unaeenda kukutana naye,pia acha akili irelax,usikamie gemu sana,kula vizuri ushibe na kama unatumia kakinywaji kabia kidogo siyo mbaya ....uwe na muda wa peke yako walau lisaa limoja kabla ya mechi..hahahahahaaa mbona ukienda kwenye mpambano utaipenda show
 
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?
Ukhanithi.
 
Ninepitia threads zako mzee mama,wewe ni khanithi,yaaani ile sana,afu acha k2mia Viagra zitaendeleza ukhanithi wako,mtafute daktari akusaidie,kula vyakula vya asili,Fanya mazoezi,pumuzisha ubongo wako,kula matunda mengi yenye kuongeza nguvu kama tikiti na mbegu zake,utarudi kwenye hali uloumbwa na Mwenyezi Mungu,pia kumbuka kusali sana aseee,u gotta a big problem more than u can imagine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hayo madawa ya dukani sio mkuu.Jaribu kumuona daktari akupe ushauri kabla ya kuanza kutumia au tumia natural remedies zinaweza kukusaidia.Nina rafiki yangu ni polisi yamemlemaza kabisa hawezi kupiga game bila kumeza erecto.Ukishatumia baada ya muda utajuta nakwambia.
Natural remedies ni zip?

sent from this unknown device
 
Back
Top Bottom