Nimefedheheka sana siku ya jana

pole
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?
 
Mimi mwenyew ilishawai kunitokea hiyo hali ila nilimdanganya kwa kumwambia " ww dada mtamu sana uh " bac demu akatabasamu.. but sikutulia kumuonyesha gemu ndo limeisha hapana... nililudi kumchezea tena kwa hasira mpaka jogoo akashtuka weee sikuamini nilikaa kama dakika 40 hv ngoma bado imo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ulikua na mchecheto,kitete,ulimpania mno na kisaikology ylikua huamini kuwa uko nae,baada ya premature ejaculation,ungemwambia akamate mic hata kwa nusu saa,kama ingeshindikana basi ungeacha,tatizo aibu zilikujaa ukaamua kukatisha zoezi,mwanamke anaweza kusex hata kama hana hisia,lakini kwa mwanaume lazima hisia ziwepo ama la kitu hakiwezi kusimika
 
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?

in short inasababishwa na hofu ya kutoamini kweli ananipa uchi?, nitamridhishaje awe wangu milele? mawazo hayo na mengi ubongo unasupply damu nyingi kwenye ubongo badala ya mashine. next time jiambie leo nitamkomoa utaona ndonga itakakuwa na nguvu
 
Hakuna tatizo hapo ni hali tu za kimwili ndo huwa zinatofautiana kulingana na siku yenyewe

Mwanamke anachukuliwa kama chombo cha starehe kwa mwanaume, sasa ya nini uangaike kumstarehesha?

wazungu wamekuja, halafu unawabana ili iweje sasa? wakati hiyo ndio starehe yenyewe.

Angekuwa anataka starehe angekutafuta mwenyewe hapo ndo ungejipanga kutafuta nguvu ya ziada ili umstareheshe vilivyo

Wanawake wametufanya tumekuwa watumwa kwa kila jambo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom