Nimefedheheka sana siku ya jana

Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?
hivi mkuu si ndiyo ulileta uzi hapa kwanini mwanaume ukojeo kabla hata dushee haijaingia pangoni? eti wanawake wamekufuata kukulalamikia??
hahahahahahaaa....mi nilijua tu huyu utakuwa ni wewe mwenyewe,ona sasa ona
 
Habari zenu wadau: niende kwenye mada.

Jana ilikuwa siku maalumu kwangu baada ya kuahidiwa papuchi kwa muda mrefu kidogo, lakini nasikitika kilichonitokea sijawahi kukiona, kifupi nilikuwa na binti mmoja hivi ambae nilimfukuzia kwa miaka kama miwili hivi,,,basi siku ya Jumatano tulipeana promise kwamba jana tukutane lodge fulani hapa mjini,,, mambo yalikuwa hivi,,,, baada ya kuingia room nilianza kumpapasa hapa na pale lakini dushe halisimami nikajiuliza tatizo nini, ofcourse demu ni mkali sana, nilishindwa kung'amua tatizo ni nini, baada ya kama nusu saa hali ilirejea kawaida, nilivyoingiza kichwa cha dushe tu nikahisi kama wazungu wanakuja, kwa hofu ya kuabika nikachomoa fasta, lakini wapi wazungu walifika bila hodi, nilipata wasiwasi sana, yule binti angenionaje ukizingatia gharama niliotumia ni kubwa mpaka kumpata, ongezea na ya kulipia lodge kiukweli nilijutia kuwa na yule demu maeneo yale, kwa sauti ya upole nilisikia demu akiniuliza baby mbona huingizi kwan umekuaje ? Nilishindwa nimjibuje nikaishia kujisonya sonya tu, niliamua kumwambia tu samahan baby naomba tutafanya siku nyingne leo naumwa.

Ushauri wenu wapendwa hili litakuwa tatizo gani au ni kawaida?
Kupanic au kupania sana tendo hayo ndiyo matatizo yake. Relax chukulia ni kitu cha kawaida,usiiweke akili kinamna una hamu sana na kitu fulani
 
Hili tatizo liliwahi nikumba...mpaka leo natafta dawa mujarabu

sent from this unknown device
 
Zinapatikana wapi? Niko dar

sent from this unknown device
Hayo madawa ya dukani sio mkuu.Jaribu kumuona daktari akupe ushauri kabla ya kuanza kutumia au tumia natural remedies zinaweza kukusaidia.Nina rafiki yangu ni polisi yamemlemaza kabisa hawezi kupiga game bila kumeza erecto.Ukishatumia baada ya muda utajuta nakwambia.
 
Back
Top Bottom