Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

fomu foo ipi ulofaulu?
Ile ya usiku kwa yule ticha wa mwananyamala?
 
Congrats husny... Mi nimepata div3 ya point 10 wamenipiga penalty ya ukunaji nazi... Sijui kwann siku attend discussion siku ile.
 
umepata div 4?
Mbona somo la matumizi ya khanga ulikuwa unapata A?

Wamekuchakachua, mie nina I ya point 12.

matumizi ya kanga tunafundishwa tukiwekwa ndani, concentration ya kutosha hata kama bicha maji lazima uelewe ati.
 
Mwenzenu nina furaha ya ajabu. Naombeni pongezi zenu. Hongera wanafunzi wenzangu wote mliofaulu. Nawatakia masomo mema.

vipi kuhusu firstlady wakusoma, senator, figganigga na tusker baridiii? je wamefaulu?
 
Congrats husny... Mi nimepata div3 ya point 10 wamenipiga penalty ya ukunaji nazi... Sijui kwann siku attend discussion siku ile.

thanx amyner, mmh! Mi nilikuwa sisomei mapishi. Hayo ya kukuna nazi labda shule yenu. Lol.
 
Congrats husny... Mi nimepata div3 ya point 10 wamenipiga penalty ya ukunaji nazi... Sijui kwann siku attend discussion siku ile.

kheee we mkare kwa hiyo cookery umefeli sana kiasi cha penalty..
 
Back
Top Bottom