Nimefaulu form four, nipongezeni jamani

Sasa hapa sijui niseme Hongera ama? Njoo nyumbani mi na antie wako, tutakufanyia kasherehe kafupi. Usialike vile vivulana vyako mlikuwa mnasoma wote. Mwambie na SL asikose. sawa eeh
 
Sasa hapa sijui niseme Hongera ama? Njoo nyumbani mi na antie wako, tutakufanyia kasherehe kafupi. Usialike vile vivulana vyako mlikuwa mnasoma wote. Mwambie na SL asikose. sawa eeh

chenkyuuu ankal, dah, tatizo aunt hayupo njema. Inabidi tusogeze mbele sherehe.
 
Nimechokaa!!
Mi nilifikiri jf wanaanzia shahada ,
kumbe std seven nao wamo,
anyway hongera bibie!
 
Nimechokaa!!
Mi nilifikiri jf wanaanzia shahada ,
kumbe std seven nao wamo,
anyway hongera bibie!
 
Back
Top Bottom