Ha ha haaaaaaaaaa
similar experience, ilitokea 7 yrs past, nilienda hospitali ya kwanza nikaona aibu kuonana na dr,ikanibidi baadae nipoteze muda nikacheck mazingira ya hospitali nyingine(yaani from mnyamala-magomeni hospital)very late baada ya karibia wagonjwa wameisha ndio nikaongea na dr na akanifanyia fasta, ila niliona aibu sana kwa nesi ambaye kiumri nilimuona mdogo halafu pia nikaona fedheha ,lakini sikuwa na jinsi sababu ile hali ya kuwa na huo mzigo ilinitesa sana kisaikolojia.Siku natoa bandage nikamkuta nesi mwingine ,ile naitwa ilibidi acheke kuona kwamba ni mkaka ndo natolewa bandage,kwa hiyo nilipata aibu mara mbili ,ila baada ya hapo nikawa mshindi.Umenikumbusha mbali sana mkuu Gogle, miaka minne iliyopita when i was in my late twenties na airtel walikuwa hawajaingilia mambo yetu ya kukata govinda,(hakatwi mtu hapa, teh teh), nilikaa kwenye benchi la hospitali nimeshindwa kusema shida yangu kwa kuona aibu lkn at the end nikapiga moyo konde nikaingia kumweleza daktari, alinishangaa sana coz aliniona mda mrefu pale na mimi nikajifanya kuwa nilikuwa namsubiri mwenzangu ila amesepa kwani naye alikuwa nashida kama yangu! Nilikatwa na dokta huku naye nesi mmoja wakike akisaidiana naye, lol! Nesi mara oooh unataka kuoa? (huku anushika uboo kuufuta damu na kuufunga bandeji). Niliona aibu sana ila at the end niliibuka mshindi kwa kuchukua maamuzi, sasa mkuu maumivu yake sasa ukidindaaaa, lol, nyuzi zote zinafumuka hata hivyo after 2 weeks nilipona! Mungu akubariki sana, My take: wazazi tuwapeleke watoto wetu wakiwa wadogo wakatahiriwe ili isije ikawa shida ukubwani binafsi my youngest child (second born) ni mvulana nilimpeleka akatahiriwa akiwa na 2.5 months old ili asije akasumbuka ukubwani.Hongera Gogle utapona tu!
tinna cute unaexpirience nzuriiii
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka
Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.
Muraa.....yani kukatwa kucha tu unarazwa razwa?Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka
Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.
similar experience, ilitokea 7 yrs past, nilienda hospitali ya kwanza nikaona aibu kuonana na dr,ikanibidi baadae nipoteze muda nikacheck mazingira ya hospitali nyingine(yaani from mnyamala-magomeni hospital)very late baada ya karibia wagonjwa wameisha ndio nikaongea na dr na akanifanyia fasta, ila niliona aibu sana kwa nesi ambaye kiumri nilimuona mdogo halafu pia nikaona fedheha ,lakini sikuwa na jinsi sababu ile hali ya kuwa na huo mzigo ilinitesa sana kisaikolojia.Siku natoa bandage nikamkuta nesi mwingine ,ile naitwa ilibidi acheke kuona kwamba ni mkaka ndo natolewa bandage,kwa hiyo nilipata aibu mara mbili ,ila baada ya hapo nikawa mshindi.
nimecheka sana baada ya kuona hii picha... unawatisha wenzio wanaotaka kwenda kufanya hiyo ki2
nimeshasikia hii kitu, je ni kweli? vipi kwa wanawake wanafurahia wenye gov au wasiokuwa nalo?Pole mkuu ila hutasikia tena utamu kama awali
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka
Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.