MENISON
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 726
- 623
Nimekimbia hospitali mara 2 kukatwa govisimilar experience, ilitokea 7 yrs past, nilienda hospitali ya kwanza nikaona aibu kuonana na dr,ikanibidi baadae nipoteze muda nikacheck mazingira ya hospitali nyingine(yaani from mnyamala-magomeni hospital)very late baada ya karibia wagonjwa wameisha ndio nikaongea na dr na akanifanyia fasta, ila niliona aibu sana kwa nesi ambaye kiumri nilimuona mdogo halafu pia nikaona fedheha ,lakini sikuwa na jinsi sababu ile hali ya kuwa na huo mzigo ilinitesa sana kisaikolojia.Siku natoa bandage nikamkuta nesi mwingine ,ile naitwa ilibidi acheke kuona kwamba ni mkaka ndo natolewa bandage,kwa hiyo nilipata aibu mara mbili ,ila baada ya hapo nikawa mshindi.
Mara ya kwanza mwaka jana nimeenda Kairuki hospitali na tukakubaliana nikapangiwa niede jumanne nikakatwe ,nikasepa sikwenda nikaona kuchorana...
Mara ya pili pale Ocean road tena kule nilikuwa naenda kabisa kukatwa ,kumbe daktari wa zamu alikuwa binti mzuri wakati mimi nimekubaliana na nishalipa na mzee kanikabizisha kwa binti, bahati nzuri akatoka eti numsubirie mlangoni nikala kona ,miaka 26. Naogopa nahisi kama kutakua na matatizo,,,