nimefanya tohara, niombeeni nipone haraka

Naomba kuuliza hivi wazungu nao wanafanyiwa hii kitu au ndo ukoloni wakiaina?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.

hongera sana bro,kumbe ulikuwa bado airtel?......"hakatwi mtu hapa"
 
Kabla sijakupa pole:
Umekatwa govi ukalazwa? Kwani kulitokea komplikesheni yoyote mkuu?

Maana nakjmbuka mie nilipokatwa tu nkatoka nje kucheza na wenzangu hadi ganz ilipoanza kuisha.
 
Naomba kuuliza hivi wazungu nao wanafanyiwa hii kitu au ndo ukoloni wakiaina?

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums

Sijui, Mimi sio mzungu, ni mbarbaig
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.

njoo tukupigishe kwata kama imechongwa vizuri au bado kuna masalia. Pona haraka
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.

Msiba na mazishi ya hilo GOVI vitakuwa wapi?
 
uko hospitali gani na wodi gani tuje tukupongeze na kukupa pole?
 
Hongera ,better late than forever welcome to a new world:smile-big:
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.

Mpendwa Google...naona umesahau "o".... O moja !! chukua govi lako uongeze hako ka spelling !!
 
pole!!!!! lol!! bora umelitoa mkuu huwa yanatisha hayo,,,,
mie siku ya kwanza naliona niligegedwa huku nasali sala zote maan nilihisi nimekuta na new model kumbe govinda!!!!!
 
Hongera kwa kudondosha mkono sweta!!!!! Pona haraka ila uwe makini tu usiangalie picha za kusisimua maana utakaa mwaka hujapona!!!!
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.

Hongera kwa kuchukua uamuzi.
MUNGU wangu aliye hai, ataenda kukuponya na utakuwa mzima kuliko ilivyokuwa kwanza.
Mungu akutie nguvu, AMEN.
 
Wakuu, hapa niko kitandani hospitali nimeshafanyiwa tohara (kukata govi) Leo asubuhi, hii ni kutokana na michango yenu muliyoitoa katika threads zangu za hapa MMU.
Wadau wezangu wa MMU naomba mniombee nipone haraka

Mods naomba musiihamishe wala kuiondoa hii thread hapa ili nipate maombi kutoka kwa wadau wezangu.

Upone haraka ili ufanye nn? ww subiri kama miezi miwili hv utapona tu, utajihisi kama upo jela hv
 
ukipona usiharakishe kutia..... majeraha hayataisha na maambukizi hayatakuacha
 
Dogo safari yako ilikuwa ndefu sana,kuanzia kukimbiwa kwa ukubwa wa dushelele,kunyimwa blowjob kwa sababu ya mkono wa sweta,kushindwa kuunga bao tatu kwa mpigo mpaka kupingana na kauli mbiu ya airtel!!! anyway hongera na tunasubiri mengi kutoka kwako.GET WELL SOON BRO!
 
Back
Top Bottom