nelly nashon
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 242
- 521
Habari Jf
Nimeishi maeneo ya kambi za wavuvi katika ziwa Victoria kwa muda mrefu nikifanya biasha ya kuuza dagaa baada ya kumaliza O-level.
Kwa ujinga au kiburi cha pesa nilikuwa nikibadiri wanawake sana pasipokujua madhara yake. Mwanzoni nilikuwa mtumiaji wa condom sana,
Siku moja niliishiwa condom nyakati za usiku nikiwa gheto na binti, niliamua kufanya mapenzi bila kinga hadi asubuhi.
Kwanzia hapo niliishi kww wasiwasi mkubwa na hofu tele nikijua wazi huenda nimeaathrika na vvu. Sikuona haja tena ya kutumia condom.
Niliendelea kufanya mapenzi zaidi na wanawake zaidi ya 16 bila kutumia kinga. Nilikata tamaa kabisa ya maisha ya kesho yangu.
Mwaka 2006, nilijiunga High school, Sengerema High schol. Kipindi chote cha shule nilijua mimi ni mwathirika wa vvu. Niliendelea kutoa dozi kwa madenti wa shule jirani...Mungu nisamehee....kama vile nilikusudia kufanao.
Nilifahuru kwa dv 2 nakijuunga UDSM,2009/2010 academic year..nikisomea Wildlife science and conservation...
Nikiwa main campus, kuna bango lenye maandishi ' graduate with A's not AIDS'..nilikuwa naumia sana nikiliona.
Mwaka wa kwanza chuoni nilipata girlfriend akisoma school of law mwaka wa nne, alinikatalia kufanya mapenzi bila kupima afya, moyo ulijaa wasiwasi sana..halitambua wasiwasi yangu kwa kunitazama.
Alinisihi tukapime mara baada ya mitihani ya fierst semester, nilikonda kwa hofu hadi nilitamani kuvunja mahusiano. Niliamua kwenda kupima japo kwa hofu kubwa moyoni
Matokeo
Nilimsihi sana asiniache kama ntakutwa na maambuki, alikubali naye pia aliomba nilimtangaze kama atakuwa na maambukizi..
Matokeo yalipo toka baada ya dakika 15 hivi...
Mimi sikuwa na maambukizi nakutakiwa kurudi baada ya three months, nililia sana.
Mwenzangu aligundulika na maambukizi ya vvu...hakika niliumia sana, sikuona kama yale matokeo yalinisitahili mimi.
Mungu ni mkuu sana ndugu zangu,hutuepusha kwa mengi si kwa ujanja wetu bali kwa huruma zake. Niliapa kutofanya mapenzi kabra ya ndoa..
Sasa nina familia, watoto watatu. Nafanya kazi na buasha kuitunza familua yangu..
Namkumbuka daima yule dada, popote alipo Mungu ampe afya njema na maisha marefu.
Ukimwi badi upo, tuwe waangalifu.